Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Katika kuangalia UBINADAMU kupitia NDONDI!

>> Friday, January 21, 2011

Kuna uwezekano kuna MIDUME na MIJIKE ili MAISHA yawe na MAANA,...

... inahitaji KUDUNDANA.:-(


Swali:

  • AU?

BINADAMU ni  kiumbe wa ajabu,....
....  na  hata wakati wa amani anaweza tu kuwa na hamu ya KUBWENGA MTU hata ikibidi  KUBWENGANA akuite tu MCHEZO!:-(

Nawaza tu kwa SAUTI baada ya kualikwa kwenda kucheki NDONDI!:-(

Hebu DDC Mlimani Park Orchestra wabadili tu wazo kwa kurudia ~ Majirani Huzima Radio



Au tu MARIJANI RAJABU naye arudie-SALAMA

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

malkiory 9:29 pm  

Mkuu nitafutie angalau audio ya Eddy Sheggy inayokwenda kwa jina la SHAKAZA.

Mija Shija Sayi 2:01 pm  

Hivi ndondi hutokea wakati wa shari tu..??? Nawaza tu kwa sauti.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP