Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

NA wakati kuna MTU MPENDA FIRIGISI anaendelea KUJIDAI na kitu chake MURUA kisicho firigisi,....

>> Tuesday, January 11, 2011



.... labda ,.....

.....kuna  FIRIGISI ambazo  ANAYEJIDAI angezistukia  kama angepunguza tu MADOIDO,.....
... kwa kuwa yasemekana katika MADOIDO yoyote ya MWENYE MADOIDO wakati anajidai UMAKINI hupungua!:-(

Swali:
  • UNABISHA?


Ndio,....
... wakati mtu anaendelea kujidai,....
.... yasemekana akili yake hubobea ZAIDI katika yale anayojidai nayo ZAIDI,...
... na kwa bahati mbaya DUNIANI kuna mengi  ,....
.... na wakati MTU anajidai na HILI,.....
...... YALE mengine humpita .:-(

Ni wazo tu hili SOMO!:-(


Hebu Gregory ISAACS abadili wazo kwa -Teacher's Plight



Gregory Isaacs anong'oneze -Mind U dis



Au tu Burning Spear aingilie kati shughuli kwa-African Teacher

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP