Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kutokana na TAARIFA za KIINTELIJENSIA kutoka TANZANIA,...

>> Saturday, January 08, 2011

....andazi kama tu KITUMBUA ni  malaya,....
.... kwa kuwa linaweza kuliwa na kila MTU!:-(




Swali:
  • Unauhakika ukisikia kitu kinaitwa TAARIFA ZA KIINTELIJENSIA  kifanyacho mke wa Dr Slaa na wana ARUSHA wapewe  BONGE la mkong'oto unauhakika TAARIFA hizo kwa jina jingine sio TETESI tu?:-(

  • Na siunajua umuhimu wa TAARIFA ZA KIINTELIJENSIA kwa kawaida huwa NI katika data hizo DATA zinatafsiriwaje na wana INTELIJENSIA na kwa hiyo  kwa kutafsiri data kunauwezekano wa kupata mpaka tafsiri ya kijinga ioanishayo mpaka ANDAZI, kitumbua  na mtoto mzuri yule mrembo ambaye ni  MALAYA hata kama ni vitu vitatu visivyo na uhusiano KWA TAFSIRI NYINGINE?

Tukiacha utani:




Yasemekana,....
..... kama tu siasa ya TANZANIA ya ukiandamana upewe kipigo kwanza kwa kisingizio cha TAARIFA ZA KIINTELIJENSIA,....
..... kumbuka mpaka leo hii TANZANIA ni kweli kabisa  ,...
..... WANAWAKE  na WATOTO huongoza katika KUBWENGWA aka KULA MKONG'OTO  majumbani kutokana na  taarifa hizihizi za kiintelijensia zijulikanazo kwa jina jingine maarufu kama TETESI.:-(




Swali:


  • Kwani hujui inasemekana mara nyingi  KUBWENGWA kwingi kwa WANAWAKE na WATOTO  a.k. a KULA BONGE LA KIBANO Tanzania hutokana na TETESI tu?


Na kwa kawaida tetesi ikichukuliwa kama ndio UKWELI mtupu,.....
.... kuna mtu ataumia tu BUREEE bila sababu za kimsingi!:-(



TUNAKUMBUSHANA tu!:-(

Na ndio,...
....hili ni wazo tu MHESHIMIWA na labda wala usikonde!:-(
JUMAMOSI NJEMA Njemba!



Hebu Slick Rick na Doug E Fresh wadinye-La Di Da Di




Hebu Snoop arudie ndude ya Slick Rick.....


Au tu Outkast na Slick Rick wamalizie tu na -Da Art Of Storytellin

1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

malkiory 11:51 am  

Intelijensia kwa watu wanaodai haki yao inafaida gani! kama wao kweli ni waaalamu wa intelijensia walikuwa wapi wakati wa kura za maoni wakati wana CCM walivyokuwa wakinunia kura. Mimi nadhani wangetumia pia intelijensia kujua wamiliki wa Dowans kwa upande wa Tanzania.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP