Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Jukwaa la WANABIDIII baada ya muda fulani!!

>> Sunday, January 16, 2011

Kabla sijadadavua...
WANABIDIII  ukibofoa LINK ni,...

Nilitoa oni moja tu MWAKA HUU na kustukia nimewekewa kizibiti cha aina  fulani aka NIMPAKA NIONGEACHO KIKAGULIWE NA NGULI wa JUKWAA  kwenye WANABIDII kama kinafaa ndio kitoke ,....
.....na ni kutokana na oni moja tu hili na baada ya kuchangiwa na mtoa maoni mmoja tu!:-(


 Na MKUU ,...
...sio kama  NALALAMIKA HAPA ,....
....kwa kuwa nakubaliana na WATUNDU WENYE  KIKAO HICHO KIAINA kwa kuwa WATUNDU HAWA  WAJANJA katika wadhaniayo ni SAHIHI na naamini kiaina WANAMCHANGO MKUBWA TU TANZANIA ,...

na pia KUTOKANA  pia na kujua kuwa WANABIDII  sio kiwanja changu na pia  nikiamini BIDII ni nyingi na ni za aina nyingi!


Hebu  tuangalie nilichosema:


Simon Kitururu said:

Aihe: Hivi kwanini nahisi WANABIDII kama FORUM sio huru?



Mie ni MWANABIDII tokea mwanzo kama waliokuwepo au kualikwa tokea
MWANZO wanahesabika hata kama huwa hawa COMMENT aka hawatoi maoni
kila siku hapa kijiweni!:-(

Nachostukia hapa saa nyingine NYINGI ,...
....ni jinsi watu wa upande mmoja wajitahidivyo kujihakikishia
wafikiriacho ndicho kweli.:-(

Nacho jaribu kusema ni kuwa HUU ni mwaka MPYA jaribu kutojisikiliza
zaidi ya kumsikiliza mwenzio hata ufikiriaye ni MJINGA anasema
nini,...
....labda unaweza kujifunza kitu !:-(

NI HILO TU!:-(
Na waza tu KWA sauti!

Heri ya MWAKA mpya MWANABUDII!



Mohamedi Mtoi  said:

Aihe: Re: [wanabidii] Hivi kwanini nahisi WANABIDII kama FORUM sio huru?





Asante sana kwa wazo lako lenye sauti kuu, litafungua masikio tunye
kuona mawazo yetu ni sahihi kuliko ya watu wengine. Philosophia
inatufundisha kuto kudharau mawazo au fikra za mwenzio maana hata wazo
la kijinga huweza kuzalisha fikra mbolea.

Naomba kuwasilisha.










Ndio,...
....NAWAZA tu hapa kwa sauti wakati nafikiria UHURU Tanzania na wala sina nyongo na WANABIDII wale wakuu wa sehemu HIYO hasa wafikiriao YAO NI SAHIHI zaidi!:-(



Tubadili tu wazo kwa Give me one reason kutoka kwa Tracy CHAPMAN



Tracy Chapman aingilie shughuli tena kwa -Talking about Revolution




Au nichakachue tu kwa......


0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP