Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Wakati WAMAREKANI wanasali na kuamini MUNGU yuko upande wa MAREKANI na sio CHINA,...

>> Friday, January 21, 2011

... halafu eti upande wenye nguvu bado UNASHINDA!:-(



Ndio,...
.... pamoja na kuwa  stori za DAVID na GOLIATI zipo,...
...kama huna nguvu  ukamuingia mwenye NGUVU kwa kisingizio MUNGU yuko upande wako ,...
...unaweza kula MKONG'OTO weye!:-(



Swali:
  • Ushastukia mara nyingi ni MWENYE MISULI ndio  mwenye KABALI yenye nguvu hata bila kusali?
  • Na si labda ni BAISKELI itakayoumia zaidi ikigongana na GARI hata iweje vile?

Ndio,...
...labda ya MUNGU tumuachie MUNGU:-(




Nawaza tu hapa MHESHIMIWA na samahani kwa wazo hili MKWECHE!:-(


Hebu QUEEN IFRICA aingilie kati na-NO LOVE AGAIN



QUEEN IFRICA arudie-Below the WAIST






Super CAT ambaye Sean Paul alimuiga staili akatizie denge kwa-DON DADA


Super  Cat aendelee Kunyunyizia-GHETTO red HOT



AU tu SUPER CAT amalizie tu kwa -ALRIGHT

3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

emu-three 2:08 pm  

Wananena kuwa mwenye nguvu mpishe, na mwenye pesa sio mwenzako. Sali , omba, lakini je `imani' hiyo unayo kweli...niulize kitu, upo kwenye ibada, na ghalfa nyoka huyu, utafanyaje, utaendelea kuomba, nyoka apite zake au utakatisha sala...maana wewe muda huo unaongea na mungu, ni swala la kumuomba mungu amuondoe huyo nyoka asikudhuru...wewe...imani kazi kwelikweli !

Mija Shija Sayi 2:03 pm  

mmmmmmmhhhhh!! Hili nalo neno wanafalsafa wangu Simon na M-3.

Mija Shija Sayi 2:03 pm  
This comment has been removed by the author.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP