Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Sauti za Busara music festival - Newsletter - January 2011

>> Thursday, January 06, 2011

Kwenu Wanablog

Wakubwa Habari za Kazi!

Ifuatayo ni newsletter ya sauti za Busara ya Mwezi huu, nadhani wengi mshaipata

kupitia mailing list yetu hapa Busara, kwa sasa naomba mrushe hili debe(aka) kelele

mablogini ndani ya wiki hii.




Sisi hapa Busara tunautambua umuhimu wenu katika uelimishaji ndani
na nje ya nchi

Kwa wale watakao taka kuwepo katika tamasha tunaomba maombi yenu kupitia;

press@busara.or.tz  


Deadline ni kesho tarehe 7.

La mwisho kama kuna blog nimeiruka kutokana na kukosa e -mail address zao,

tafadhalini nawaombeni kunisaidia kuisambaza hii mail.


Kwa maaelezo zaidi wasalia nasi.

Ni wenu katika ujenzi wa jamii..



Shukrani!

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP