Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kwa bahati MBAYA kama MTU ni KIONGOZI kuna watu watamfuata tu!:-(

>> Tuesday, January 04, 2011

Tatizo ni,....
.... wakati watu wanamfuata KIONGOZI sebuleni,....
...... huyo kiongozi anaweza kutojua  anakokwenda NA wamfuatao wakajikuta wako CHOONI.:-(


Ndio,....
..... amini usiamini WANADAMU wengi hupenda kufuata  ya watu au MTU mwingine hata kama hawajastukia wafuatacho ni kufuata tu ,...
...... na wamfuataye hawamuiti KIONGOZI.:-(



Swali:
  • Unafikiri tuwaitao VIONGOZI Tanzania ni kweli viongozi na unauhakika wanajua wanatupeleka wapi?

Ndio,...
.....labda wewe ndio kiongozi wetu,....
.....TATIZO ni ,.....
......wakati watu wanakufuata unawapeleka WAPI?


Nawaza tu KWA SAUTI wakati naendelea KUWAZA!:-(


Tubadili kwa kucheki tena jinsi watu wawezavyo kubadilika kwa kumdeku MONTELL Jordan enzi  za anasa  katika -THIS is how we do it




Montell Jordan aendelee kwa - Somethin' 4 Da Honeyz



CHEKI siku hizi kama MCHUNGAJI wa kanisa akiongea.....

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP