Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

WAKATI inasemekana katika JAMII hakuna wajitahidio kutafuta UHURU hata wa kutumia au kusema wanatumia KUMA au MBOO hadharani!:-(

>> Sunday, January 30, 2011

UHURU ni kitu ambacho wachache ambao hata wanaamini wako HURU,...

... wanautumia.:-(

Na kwa kuwa kuna walioko HURU;...

.....labda uhuru wao  wakati wanastukiwa wako HURU ni pale tu wakati ghafla wanatuambia maoni yao kisa Simon KITURURU kaonekana hadharani akitamka anapenda KUMA kama wao tu labda wapendavyo MBOO,...
....
.... hata kama ni kwa kuwa labda ni TAKO hata  KATIKA kunyegelesha watu HAO katika kunyegeleshwa  ndio wanacho tumia.:-(



Swali:

  • Kwani unafikiri kama matumizi  yako ya CHOO ni choo kukojolewa au KUNYEWA kwani bado sio kweli labda CHOO kina haki YA kupuliziwa mpaka PAFYUMU hata kama ni kwaajili tu ya baaada ya KUNYA  waiokunya wakati huo labda wakihusishe CHOO na harufu nzuri?

Ndio,...

...wakati kuna  WAJITAHIDIO  kupata UHURU angalau hata wa kunya choo kimoja na  MABOSI wao,...
.... LABDA kuna wasahauo kuwa kuna ambao LABDA wananyanyasika na mpaka ,...
.... KWA KUNYANYASIKA wamefikia mpaka KUAMINI  kuwa haki ya KUNYA PEMBENI YA CHOO bado umuhimu wake  sio ule wa kunya ,...


...... kwa kuwa kutokana na yote waliojifunza  KIHESHIMA ,...
....umuhimu  hata WA aliobanwa haja kubwa ni CHOO na sio KUNYA.:-(


Swali:
  • Unabisha?
  • SI inasemekana labda ni kweli labda hata wasiotumia KUMA na MBOO kama tu watumiao KUMA na MBOO na tundu la TAKO PIA   labda sio muhimu kuongelea KUMA na MBOO kwa kuwa labda kiheshimiwa kuongelea siasa  au udaktari ndio  utajulikana una akini na ndio boma la KITU kiheshima?

Ndio,...
... nawaza tu hapa MHESHIMIWA hata kama  kiuheshimiwa wako  sio heshima kutamka KUMA na MBOO hadharani.:-(

BASI tubadili wazo kwa utoko wa asiye MBWA JIKE wa Paquito D'Riveira katika mtuno wa kidude kisicho na utoko- To Brenda With Love





Au tu Koffi Olomide akatizie denge kwa-STAND BY






Bado,....
....nipo:-(














6 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

EDNA 3:28 pm  

hahaaa mie thithemi,ila umeng`aa na suti yako mwenyewe.

Simon Kitururu 3:52 pm  

@Mdada EDNA: Acha matusi bwana!

Na sijui kwanini ingawa kuna kitu nahisi umekimezea na husemi HADHARANI ,...
...ila LABDA naruhusiwa kuhisi luna kitu umethema!:-(

Mija Shija Sayi 4:33 pm  

Edna kunavitu viwili ambavyo sijawahi kuacha kuviona kwa Kitururu...
1. Kung'aa unakokuongelea na,
2. Kinywaji a.k.a Kilaji.

Tukirejea katika ile posti yake ya nyuma kuhusu tabia ya mtu inavyochangiwa na mazingira aliyokulia.., Inawezekana kabisa Mazingira yake yalikuwa ni ya UTANASHAJI na KINYWAJI.

Simon Kitururu 4:44 pm  

@Dada MIJA: :-(

Anonymous 4:46 pm  

jamani huyu simon kitururu anaandika pumba sijuiini utoto au ujana sijuii amelelewaje anaandikaga pumba na hana hataheshima kuandika matusi hadharani na anajua ktk compyuter hata watoto sikuhizi wanasoma hii sio heshima kwa mtanzania kama yeye watanzania wanamaadili embu badilika wadogo zako wanaokuwa watajifunza nini kwako? matusi itakusaidia nini sana sana itakuvunjia heshima yako tu mbele za watu au ndio unaona maendeleo ukuwi?

Simon Kitururu 5:08 pm  

@ Anony:

Asante kwa maoni na mtazamo wako!




Kwa kifupi labda uliyosema yote ni KWELI!:-(


Na pumba kwa wengi ndio niandikacho. Kama hujastukia karibu kila niandikacho ukicheki chini huwa nakilebo: UjingaBUSARA.... Na haki ya nani najua kunawaonao kama wewe ni UJINGA MTUPU na kuna akina mimi ambao ni WATANZANIA kama wewe tu ambao katika kila PUMBA wanajua kuna MCHELE au mahindi.


Na mimi moja ya sababu ya kuandika PUMBA hadharani ni kwa sababu naamini jamii ya WATANZANIA kama wewe vile ambao ni UNAFIKI MTUPU UMEJAA na uheshimiwa wao misingi yao ni UNAFIKI ndio maana hatuendelei.:-(

Na hapa simaanishi kuwa kama sio MNAFIKI ina maana hadharani uandike KUMA na MBOO kama mimi,...
... ila naamini sio sabau kujifanya ndio mheshimiwa wa KITANZANIA ndio usiwe na uhuru wa kuwa MJINGA hadarani kwa kuwa ni WENYE AKILI na WAHESHIMIWA tu ndio ahusudiwao na kusifiwa hadharani.


Kwani hivi matusi ni nini?

Kwani hivi MAADILI ni nini?


Na ningependa kweli kukujua jina MKUU!

Na samahani kwa kukukwaza hasa kwa kuwa mie naamini hata watoto wanahitaji kujua katika watu kuna KUMA na MBOO au angalau kuna viathiriwavyo na KUMA na MBOO!:-(

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP