Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

UMABE Arts.

>> Thursday, January 06, 2011


Habari za leo wadau wote popote Duniani, kwanza tunapenda kuwapa mkono wa heri ya mwaka mpya 2011.

Tunapenda kuwakaribisha nyote katika Web Blog yetu inayo jishughulisha na Sanaa za aina zote kama vile Muziki,maigizo,Filamu nk, .....

.....kwa ujumla mengi Mtayaona mtakapo tembelea Tovuti yetu. 

Pia tunaomba ushirikiano wenu kwani tunaamini sisi kama sisi hatujitoshelezi bila nyinyi wadau wetu. tunapenda kutanguliza shukurani zetu na karibuni sana.

Wako kwa niaba ya kampuni:

FREDY NJEJE
PROJECT AND DESIGN MANAGER
UMABE ARTS COMPANY LTD

Jina la Blog: UMABE ARTS

Kwa Pamoja tunaendeleza harakati za sanaa na wasanii Nchini!

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP