WAKATI labda ni KWANINI kitu hadharani KINACHANGIA uheshimiwa wa WAHESHIMIWA!:-(
>> Sunday, January 30, 2011
Moja ya MATATIZO wajitakiayo WATU,...
......labda moja wapo ni WATU kutaka KUHESHIMIWA!:-(Swali:
- AU?
Na kwa kuwa kuna siri,...
...zifanyazo watakao KUHESHIMIWA,...
....labda zaweza kufanya wafikiriacho na wafanyacho WAHESHIMIWA kwa kuwa sio vya KIHESHIMIWA,.......kwa kuwa kunaaminikika kwa kuwa KAMA hakiko HADHARANI basi hicho kwa kuwa HATUJUI na tunaheshimu MTU ni cha HESHIMA HICHO kwa kuwa afanyaye hicho tumeshajijengea ni MHESHIMIWA hata kama twajua labda NI MATUSI MATUPU kwa afanyaye NGONO hata kwa kuwa kiheshima hicho kikuna UTUPU safari hii hakiitwi kutombana,...
.... hata kama ni kwa kuwa hatusemi hata hilo KISIRIkwa kuwa kiheshima ni SIRI.:-(
NA siri ,....
..... labda ndio sababu hata TANZANIA labda ni MASIKINI hata katika kugawia MASIKINI utajiri ingawa,...
....hata kama twajua VIONGOZI WA TANZANIA na wasio masikini BONGO aka TANZANIA,...
....kwao TANZANIA ni tambarare ingawa labda HILO NALO wala sio SIRI.:-(
....kwao TANZANIA ni tambarare ingawa labda HILO NALO wala sio SIRI.:-(
Siri,...
.....inaweza mpaka KUCHAKACHUA hata ya MTU,....
....na kufanya mpaka ya MTU ya ukweli ujulikanao NI KWELI ila kwa kuwa NI HESHIMA kufanya kwa sababu hata za kusingizia MAADILI kufanya HATA tujuavyo ,.......kiheshima ni SIRI.:-(
Swali:
- AU?
Hebu tuhame wazazo tena kwa chupi ivuliwayo na Tippa Irie katika - Complain Neighbour
Au tu Smiley Culture achakachue tena ....
2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Hili wazo! Tena treni.
@Mkuu BWAYA: Ila tatizo la wazo labda ni kuwa WAZO sio VITENDO!:-(
Post a Comment