Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

SABABU labda KITUMBUA kinaitwa KITUMBUA, na sio CHAPATI .....

>> Monday, January 31, 2011




....ingawa LABDA KITUMBUA na ANDAZI sio tofauti sana ,...
.... ingawa MAANDAZI bado katika mfanano bado  andazi  laitwa ANDAZI!:-(



Swali:

  •  KWANI  unafikiri ANDAZI ni tofauti sana na KITUMBUA?
  • SI labda hatujui MAANDAZI kwanini kwa KISWAHILI yanaitwa MAANDAZI tukidadavua undani hata wa MAANDAZI hata wakati tufikiriacho ni MAANDAZI na sio KITUMBUA?


Ndio,...
... labda kunasababu PEPSI haiiitwi KOKAKOLA ,...
.... hata MPAKA kinamna nasio wale wasio kinamna WAJANJA,...

... hata wale wenye MPAKA  kuchanganya PEPSI na COCACOLA!:-(


NI WAZO TU HILI MHESHIMIWA !


Hebu LEADBELLY arudie-Irene Goodnight




Au tu R. KELLY alainishe kitobo  kwa -I believe I can fly


1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Unknown 8:46 am  

Kitumbua ni kitumbua maana hadi kiitwe kitumbua pia mchele umehusika pamoja na michanganyo mingine wapishi waijuayo kisha kukaangwa ktk chombo cha kukaangia kitumbua kutumia mafuta kidogo.

Andazi mchanganyo wa ngano na amira labda sukari ama chumvi hadi kukaangwa kwa kutumia mafuta meeeengi mwishowe huwa andazi.

Kama huoni haja, kama hautajali karibu tule chapati kwa supu ya samaki wa ziwa victoria.

Ndimu imekolea.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP