Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Taarifa ya MSIBA: Ndugu yetu DENNIS LONDO amempoteza MAMA YAKE!:-(

>> Wednesday, January 12, 2011

Ndugu wapendwa,

Kwa masikitiko makubwa napenda kuwapa taarifa kuwa ndugu yetu Dennis Londo amempoteza mama yake usiku wa kuamkia leo. Nitajitahidi kuwapa taarifa kuhusu mipango yote ya msiba kila nitakapojua.
Naomba tumkumbuke Dennis na ndugu zake katika wakati huu mgumu.
Mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi.


Kutakuwa na mkutano leo saa 11 jioni nyumbani kwa wafiwa, Lautamiehentie 2B 39. Vantaa, FINLAND. Kutoka railway station, mabasi namba 650 na 651A yatakufikisha. Tafadhali mfahamishe na mwenzio kuhusu msiba huu.
Wasalaam,

Humphrey

Dear friends,

With great sadness, I would like to inform you Dennis Londo's mother passed away last night. I will try to update you of any relevant information once I get it. Do please remember Dennis and his family in your prayers.

There will be a condolence meeting at the Londo family's home at  Lautamiehentie 2B 39, Vantaa,FINLAND. The meeting will start at 17:00. You can take buses No. 650 and 651A from the railway station to their place.


Best regards,
-Humphrey Kalanje



Pole sana DENNIS LONDO na familia yako nzima!
MUNGU amlaze mahali pema peponi MAMA mpendwa!

-Simon Kitururu


UPDATE!
Marehemu Mwalimu Innocentia Banzi
Familia ya marehemu mwalimu Julius Banzi wa Mafiga Morogoro, inasikitika kuwatangazia msiba wa Mwalimu Innocentia Banzi kilichotokea alfajiri ya tarehe 12/01/2011 Dar-es-salaam-Tanzania.
Marehemu ni mama wa: Dennis Londo wa Helsinki-Finland; Esther Londo na Walonzi Tatala wa Tampere-Finland; Michael Gomela wa Reading-United Kingdom; Daniel Mtebe wa Stockholm-Sweden.

Dear friends,

Our brother, friend,relative,colleague Dennis Londo and his family are deeply sad to announce the funeral ceremony of their lovely mother who passed away the night of 12th January 2011.
There will be a condolence meeting at the Londo family's home at Lautamiehentie 2B 39, Vantaa. The meeting will start at 17:00. You can take buses No. 650 and 651A from the railway station to their place.
For more information contact Tel:
+35850 4863508, +35840 5892123, +35840 3750820.Michango kwa ajili ya kuwawezesha wenzetu waweze kusafili haraka iwezekanavyo kuwahi msiba inahitajika. Unaweza kuweka mchango wako kupitia account ifuatayo: 

Nordea account owner: Halifa Mjengwa
Bank account: 157235-92622 
Sampo account owner:Ephata Sozigwa
Bank account: 800022-37481618
Mazishi yanatarajiwa kufanyika Morogoro mara tu watoto wa marehemu watakapowasili.Tanzania upo nyumbani kwa marehemu Mafiga-Morogoro, na Dar-es-salaam upo Mbezi Luis-njia panda ya kwenda Makabe (ulizia kwa Kunambi) Kwa maelezo zaidi piga simu namba: +255 732201098, +255 717365676, +255 713233843
Mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi.




Update!

Ndugu wapendwa,
 
Ndugu yetu Dennis, mke wake Hanna, dada yake Ester na mtoto wa Ester wataondoka kesho (alhamisi 13.01.2011) mchana kuelekea nyumbani. Last respects zitatolewa ijumaa mchana, nyumbani Mbezi Luis ( karibu na Mbezi Luxury) kabla ya msafara kuelekea Morogoro. Msiba utakuwa  Morogoro, Kiwanja cha Ndege kwa Mwalimu Banzi. Marehemu atazikwa siku ya jumamosi  mjini Morogoro katika makaburi ya Kola Hill.
 
Kwa wale ambao wangependa kuwachangia wafiwa wanaweza kuweka michango yao kwenye account zifuatazo:
 
 
Halifa Mjengwa Nordea 157235-92622
Ephata Sozigwa Sampo 800022-37481618
 
Tutaendelea kukusanya michango hadi mwisho wa mwezi huu.
Tumuombe Mwenyezi Mungu awatangulie wafiwa katika safari yao yote pamoja na wale watakao wakuta nyumbani. 
Wenu,
-Humphrey

4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 1:52 pm  

Ni kweli ni masikitiko makubwa na pigo kubwa sana kumpoteza mama. Kaka Dennis nipo nawe katika majonzi na sala. Na Mwenyezi Mungu akupe nguvu za pekee kwa kipindi hiki kigumu. Pole sana ndugu na wafiwa wote Mama yetu astarehe kwa amani peponi amina.

EDNA 4:09 pm  

Nawapa pole wafiwa wote, Mungu awape nguvu na ujasili katika kipindi hiki kigumu.

Rachel Siwa 4:56 pm  

Poleni wafiwa wote Mungu awapenguvu na uvumilivu mpaka mwisho wa mazishi!mliokuwa mbali na nyumbani pia muwe na safari njema.

emu-three 1:43 pm  

Poleni sana wafiwa, na amlaze pema marehemu peponi!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP