Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Nawatakieni KILA la KHERI wadau wote wa BLOGU HII!!

>> Friday, December 31, 2010

Tutakutana KALENDA ya wajanja ikibadilika  na kudai ni mwaka 2011,....
....kama MUNGU akipenda!







 
Asanteni kwa YOTE !
Tuko pamoja sana tu !

Wenu,
 -Simon Kitururu




Rafiki yangu kanitumia salamu hii niliyoipenda:


I don't want to be bothered Next Year,

Let me finalize with you once and for all.

Happy new year, Happy Birthday, Happy Valentine, Happy Easter Holiday.
Happy Father's /Mother's Day, Good Morning x 365 days, Good Afternoon x
365 days, Enjoy all the weekends, I don't have money X 365 and have Merry
Christmas, Happy Women's day, sorry there is no men's day, Happy Halloween,
Happy thanksgiving, Good evening X365, Goodnight X365.....

I am done with you for 2011 .



Have a good year 2011!

17 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 12:53 pm  

Ahsante na wewe pia. umependeza katika picha hii...:-)ruhuwiko

malkiory 2:58 pm  

Tunakukia heri na wewe katika kuaga 2010 na kukaribisha mwaka mpya wa 2011.

Unknown 3:04 pm  

Ahsante mkuu. Tunashukuru kwa yote na kwa mchango wako thabiti katika jukwaa hili huru. Kila la kheri ya 2011 na tunasubiri mengi toka kwako.

Simon Kitururu 3:46 pm  

@Da Yasinta +Mkuu Malkiory na Mfalme Mrope:

Asanteni sana Wakuu!

John Mwaipopo 4:37 pm  

From the deepest and coolest part of the mortal hat was christened John Mwaipopo some thirty something years ago receive my well wishes for the year 2011

Plus

Happy Mapinduzi, Happy Karume day,Happy Muungano,Happy May Day, Happy Sabasaba day, Happy Nanenane day, Happy Nyerere Day, Happy Tisa Disemba

...Like your friend, all these "happy this and that" are sent beforehand...... we have so many days of boozing. Happy all days!!!!!!!!

Evarist Chahali 4:57 pm  

Heri ya Mwaka mpya kwako pia Mkuu

PASSION4FASHION.TZ 5:07 pm  

Lol.....hii nimeipenda sana mtakatifu.....na wewe pia na familia yako,uwepo wako hapa kumechangia kuongeza,au niseme kurefusha maisha ya watu,mtu anapoingia hapa hutabasamu au hucheka kabisa,pichani umependeza sana!!!Happy new year!!!

EDNA 5:56 pm  

Heri ya mwaka mpya SIMON 2011.

Innocent Kasyate 12:33 am  

Heri ya Mwaka Mpya Mkuu.
Tz itatimiza miaka 50 kama Taifa huru. Tutasherehekea mafanikio kedekede.

Ndugu Nkwazi N Mhango 1:31 am  

Mt. Kitururu usitake kunivunja mbavu nikauanzia mwaka hospitali. In short HAPPY NEW YEAR.
It seems you are bankrupt of everything except making people laugh. Kudos and blessings.
Mtakatifu mwenzio.

Masangu Matondo Nzuzullima (MMN) 2:41 am  

Kila la heri. Mapya na mazuri zaidi kwa mwaka huu. Pamoja daima!!!

Ningekuwa Baba Mtakatifu ningekupigania upate Utakatifu wa kweli!!!

mumyhery 7:24 am  

Shukran, heri ya mwaka mpya nawewe pia

Rama Msangi 10:44 am  

asante sana kamanda...nawe pia

Born 2 Suffer 8:19 pm  

Na wewe kila la kheri katika mwaka mpya 2011 tunaomba uwe mwaka wa amani zaidi duniani kote.

ADELA KAVISHE 9:56 pm  

nawe pia ubarikiwe sana

Mbele 10:07 pm  

Heri ya mwaka mpya.

Simon Kitururu 3:50 pm  

Asanteni wote! Mbarikiwe sana tu!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP