Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kwa kuwa inadhaniwa hakuna wenye hamu ya KUJILAUMU!:-(

>> Tuesday, December 21, 2010

Kujilaumu,...
.... labda KUPO kwa kuwa tu KUNAWEZEKANA!:-(



Na lakini kama KITU kiliwezekana na kufanyika labda KUJILAUMU,.....
.... ni shughuli tu IFANYIKAYO kwa kuwa inawezekana.:-(


Swali:

  • Si KILAUMIWACHO mara nyingi hudhaniwa ni kwa sababu KILIFANYIKA?


Ndio,.....
.....labda vingi VISIVYOFANYWA na ALIYEWAHI KUWA NA UWEZO wa kufanya,....
...... ndivyo VISTAHILIVYO aliyewahikuwa na uwezo wakufanya na HAKUFANYA kujilaumu!:-(



Ndio,....
.... na kama UNA MUDA wa kujilaumu,...
...labda wewe hauko BIZE vyakutosha kitu kifanyacho uwe na LAKSHARI ya mpaka kujilaumu!:-(

Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(



Hebu nguli FELA KUTI aongelee -GENTLEMAN



Au tu FELA KUTI azingue baadhi ya watu  tena katika jiwe-Shakara


2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

malkiory 9:56 pm  

Fela ni mwana wa Afrika, mwanaharakati na mpiganaji asiye na kifani!

Simon Kitururu 12:12 am  

@Mkuu Malkiory:SI utani!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP