Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Nguvu!

>> Friday, December 24, 2010

Kama NI NGUVU kweli,...
....labda haihitaji msaada wakiitwacho KUTUMIA NGUVU!:-(





Na siri ya UDHAIFU ya kweli,.....
.... labda aijuaye ni  aonekanaye katika suluhisho akitumia NGUVU.:-(




Na ni kweli,...
...kama MTU anatumia NGUVU  kuna  kitu katika yeye hata kama ni HOJA TU hakina nguvu.:-(



NGUVU!

Kama kijambo tu mwilini ,...
...nguvu kila MTU anayo:-(

Na UBONGO ukipewa nafasi ya kukokotoa na kutambua mambo AKILINI;...
.... labda mengi ya watu YENYE NGUVU YATASTUKIWA  na ya watumiao MISULI kwa kutatua kwa kiitwacho ndio matumizi ya nguvu UKIZINGATIA  labda wameamrishwa na KIONGOZI wao ASIYE NA MIJISULI ndo utafahamu kama ni kweli KIITWACHO NGUVU ni wao wanacho KAMA VILE  moja ya miongoni mwa WAJIVUNIAYO katika waliyonayo.:-(

NGUVU!

Siri ya nguvu ya MTU yaweza kuwa ni jinsi tu atikisavyo tako,....
.... kama mwendo wa maringo huo UTIKISAO kalio ndio siri ya UDHAIFU wa achunwaye buzi  kwa kuwa ndicho kifanyacho awe mnyonge kwa mtikisa tako na YOTE bila ubishi  akubali!

Swali:
  • Si inajulikana ASILIMIA KUBWA ya wenye nguvu sana duniani  kwa WENGI hata mpaka  JUU YAKO ni WALE ambao hawajawahi kutumia kitafsiriwacho kwa lugha ya kawaida kama ni nguvu zihitajizo angalau msuli  JUU YAKO?





Naendelea KUWAZA.....:-(


Hebu tujifunze matumizi ya BIBLIA kwa kumsikiliza Joshua Evans katika -How the Bible Led Me to Islam





Hebu tutishane kidogo  kwa-OBAMA Worships SATAN




Au tu ngojea Snoop DOGG na Dr Dre wabadili tu mkao hapa kijiweni na kutuliza mshawasha KIBUSARA ZAIDI kwa ujumbe mzito kwa walengwa kuwa -Let me ride/Still Dre

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP