Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

SIRI ya TATIZO labda ni pale MUNGU na WATU wakianza kufananafanana TABIA!:-(

>> Wednesday, December 15, 2010


Kunauwezekano MKUBWA,...
....kama MUNGU  WA MTU na huyo MTU wanafananafanana kitabia mfano:

  • AYACHUKIAYO mtu na MUNGU wake ndio hayohayo anachukia
  • Mtu na MUNGU wake wote wanawivu

  • Mtu na MUNGU wake , wote wanapenda kusifiwa!
  • Mungu na Mtu wake, wote wana hasira!
  • Uyapendayo NA Mungu wako ndio ayapendayo,.......nk

......kuna uwezekano huyo ni MUNGU aliyebuniwa na BINADAMU kwa mtazamo wa KIBINADAMU!:-(

Swali:
  • Unafikiri MUNGU muweza yote angetaka kusifiwa  na BINADAMU kama BINADAMU wapendavyo kusifiwa , anahasira hivyo kwa viumbe vyake avijuavyo udhaifu wake  VIKIMKOSEA avichome?
  • Unafikiri MUNGU wa WAKRISTO hafanani na WAKRISTO TABIA kama MUNGU wa WAISLAMU afananavyo na WAISLAMU tabia?

Ukifuatilia hizi DINI ,...
....utastukia nyingi  tu kama ile ya UKIRISTO  zimetokea juzijuzi tu  iliyo ndani ya MIAKA elfu mbili hii ya karibuni ,.....
....na kwa kuwa inasemekana BINADAMU walikuwepo maelfu ya miaka kabla ya HIZI DINI na MUNGU wao tu ,......


Ngojea niendelee kuwaza!:-(


Hebu tupate ngoma kutoka kwa WATUNDU waliobadilika na kuwa WACHUNGAJI wa MAKANISA kwa kuanza na Montell Jordan katika-Lets Ride



Tuendelee na aliyemfuata YESU mwingine kwa jina Mc Hammer arudie-Have U seen HER?



Au tu Mchungaji MASE amalizie na-Tell me what U want

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP