Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

KWA BAHATI MBAYA si chochote KILETWACHO MEZANI kinalika!:-(

>> Wednesday, December 15, 2010

Na ukiona kuna MABAKI,....
.... haina MAANA waliokula WALISHIBA!:-(


Swali:

  • Si umeshashuhudia uwajuao wanachakula CHUMBANI na unauhakika na walacho nje kwa juhudi kiitwacho KIMADA?

Pamoja na kuwa kuna UKWELI kuna watu wana APITAITI kubwa,....
....sio wote ushuhudiao wakila NJE  na unaushahidi wanakula na ndani kwa kuwa mama watoto MJAMZITO,....
......hawajilazimishi  tu kula ndani  tu kwa kuwa JAMII inadai  chochote kiwekwacho MEZANI hata kama sio kitamu inabidi KILIWE!:-(


Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!


Hebu Papa WEMBA alainishe kwa -Rail on




Au tu PAPA WEMBA alainishe zaidi kwa -Yolele


0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP