Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

KIDUME kama MWANABIBI anaweza akachanganyikiwa mpaka na KIDUDE CHAKE cha nyanya mshumaa cha KAWAIDA TU kwa kujaribu kufuata USHAURI wa watu kwenye INTERNET!:-(

>> Saturday, December 18, 2010

Mtandaoni kuna mpaka ma-ANONYMOUS wafikiriao katika kila kitu wao ni MAPROFESA,...
....kwa hiyo wakati UNAKIPELE  sehemu za siri jihadhari na majibu uyatoayo MTANDAONI kama nia ni kujulia jinsi ya kukuna kipele na sio kupalia makaa MUWASHO mpaka ukajikuta umegeuza kipele kuwa  JIPU .:-(





Swali:
  • Si unajua ukiuliza SWALI mtandaoni  YOYOTE huweza kukujibu ingawa ukweli uko pale pale  kuwa kuhusu swali la MTU  la jinsi ya kuhudumia jipu katikati ya matako  sio kila ajibuye KALIELEWA au  ni mtaalamu wa huduma za jipu au  tako ingawa  kwa kimbelembele  AJIBUYE  ASIYEJUA KITU KUHUSU LA MTU  SWALA ndiye kunauwezekano akawa kajibu kirefu?





Ukifuatilia majibu mengi ya maswala ya watu waulizayo MTANDAONI,....
....UTASTUKIA wajibuo wengi majibu yao yameathiriwa  NA MENGI ikiwa mpaka na IMANI zao.:-(


Mlokole atajibu kilokole,...
....mchawi, kichawi,...
.....Muislamu ,kiislamu,...
....Malaya ,kimalaya,...
...Mwana CCM, kisisiemu,...
...MCHADEMA, kichadema,....
....Tajiri,kitajiri,...
...Masikini ,kimasikini,...
...Mwenye ukame, kinyegenyege,....

....na kwa bahati mbaya WOTE wanakujibu wakiamini wako sahihi .:-(


Na unaweza MPAKA kukuta swali apaswalo kujibu  DAKTARI wa NGOZI ,...
....MTANDAONI  unashauriwa NA WENGI  ulipeleke kuombewa KANISANI,...
..... na maswala yenye majibu MSIKITINI kwa SHEKHE ,....
....waweza kukuta unashauriwa uende kumuuliza msanii wa Bongo Fleva kwa kuwa kuna ubeti kwenye SONGI lake aliongelea  swala la kama UNA NGAWIRA PESA unakwalifai  kuongeza mke wa PILI hasa baada ya mshahara wako kupanda mara DUFU na RIJALI unabubujika kwa mapenzi  yahitajiyo msaada wa kukandwa na joto la mwili LA  zaidi ya MWANAMKE mmoja.:-(


Swali:

  • Si unajua ni vizuri KATIKA  mambo yahitajio UTAALAMU  majibu ya MTAALAMU yakipewa uzito zaidi kuliko ya wale wenzangu na mimi ambao MAJIBU YAO NI YA COMMON SENSE zaidi  tu hasa tukijua COMMON SENSE  saa nyingine huwa na KICHWA cha MWENDAWAZIMU?


Common SENSE nishai,....
....kwa kuwa  KILA MTU ANAYO ndio maana WAJINGA na werevu wote ukichunguza hata katika yao wakati wanaharibu utakuta  kivyao COMMON SENSE walitumia.:-(

Na common sense nishai,...
.... kwa kuwa inaudhaifu ambao  unaweza kufanya AAMINIYE YESU  akadhani majibu  ya KIYESUYESU ndio SAHIHI  na aaminiye WAGANGA WA KIENYEJI katika swala lilelile COMMON SENSE zake kumpa jibu  KIMIZIZIMIZIZI  KUWA NDIO SAHIHI  kitu ambacho  katika swali LENYEWE  la -  hivi  nyege  ITATULIZWAJE wikiendi hiii,...
....MYESUYESU akafikiri  kiyesuyesu na kutaka  MWENYE UKAME  amuombe mwenyezi kama tatuzi la NYEGE baruti,....

...mwenye kuamini WAGANGA wa kienyeji akaamini  KIALINACHA ni mizizi tu itumiwe ili adake mtoto MZURI mwenye tako lililotepweta katika MKAO wa ile kitu roho yake inapenda,....


.... ingawa labda mwenye jibu  kamili KIVITENDO  ni YULE tu kimwana malaya UMJUAYE  na siku mojamoja UMUWAZAYE ambaye matibabu yake anayo kikidude na kikivimbwanga vya lishe ya URODA KIVITENDO asiyesikilizwa  wakati  ma -ANONYMOUS  wasiojua tiba - tukiachilia mbali uwezo wa kutibu  KIDONDA NDUGU TAMUTAMU ndio wasikilizwao kibumbuliko .:-(


Swali:

  • Si unajua unaweza kupata hata MAJIBU ELFU ila ni  yapinganayo  kuhusu hata lile swala MUHIMU kujua MAISHANI -  la hivi ni kweli umuhimu wa chupi KWA KIMWANA KABAMBE ni KWELI NI kushikilia tako lake  lisidondoke wakati KIMWANA anatembea kwa maringo  kikutikisa tako mbele ya UMATI - kutoka kwa ma-ANONYMOUS wafikiriao  INGAWA MAJIBU YAO YANAPINGANA wote  wako sahihi na kujikuta baada ya majibu ELFU  bado huna uhakika jibu halisi  SAHIHI ni lipi?




Ndio,...
... kwenye MTANDAO kila mtu anaweza kujifanya MTAALAMU,...
...na kama hujui MTAALAMU WA KIKWELI wa kufuata majibu yake,....
....waweza KUPOTEA kwa kujikuta UNAAMINI wale WALIOKUJIBU majibu yaliyokuwa karibu na HISIA ZAKO, imani yako ,.....au tu UDHAIFU wako wa hata kabla hujauliza swali,...
...na kama HISIA ZAKO na vikorokocho vyako vingine  kabla ya kuuliza swali vilikuwa VIMEEGEMEA KWENYE UPOTOFU,...


....unaweza kujikuta ndio UMEPOTEA KABISAA kwa kuuliza watu MTANDAONI a.k.a KWENYE INTERNET,...
...kwa kuwa sasa unaweza kujikuta  ULE UPOTOFU WAKO kabla HUJAULIZA SWALI watu MTANDAONI  sasa ndio KABISA UNAUAMINI KIPOTOFU  NDIO UKWELI SAHIHI  kisa unajua  na umesikia  watu mtandaoni  wenye MAJIBU yanayofanana na ulivyofikiria kwanza .:-(



Swali:

  • AU?
KUMBUKA ,...
....kitaalamu  KIONEKANACHO sahihi ki-COMMON SENSE  au UKIONACHO KINALIPA na ni sahihi KIMUONEKANO  kikitambi kwa kuwa unavutiwa SANA  kulaliwa na vibosile wenye vitambi,...
.... kitaalamu bado hicho INGWA NI UKIPENDACHO KITAMBI chaweza kukutwa KIUSHAHIDI KABISA kuwa  ni DALILI  YA ile kitu  NOMA kama sio tu FULU afya mbovu kwa MTU umpendaye mwenye bomba la kitambi hata cha kusahau tu kwenda haja kubwa.:-(



Na ndio,...
...kwa kuwa na papara na MAJIBU uyatoayo kwenye INTERNET bila kucheki ni nani akujibuye na anautaalamu gani na swala ULIDADISILO hilo ,...
.... KIDUME unaweza kuchanganyikiwa MPAKA na kifaa chako  cha aina ya MBOO  ukifaamucho vyema tu kwa kuwa ni chako kama tu kimwana MWANABIBI  awezavyo changanyikiwa na kifaa chake nyomi a.k.a KIFAA kilichotuna VIIZURI tu kwakuwa ni KIZURI KWELI TU cha aina ya kuma,....
...kisa  unasikiliza kila MTU  kwa kila kitu wakati  maswala mengine ni MALAYA MWENYE JIBU SAHIHI  na wala sio PAPA BENEDICT , Rais KIKWETE au SHEKHE  UBWABWA umuheshimuye na kwakuwa UNAMUHESHIMU wafikiri  NDIYE mwenye jibu sahihi.:-(

Ni wazo tu hili MKUU!
Jumamosi njema MHESHIMIWA!:-(

Hebu tupumzike na UjingaBUSARA na kurudisha ustaarabu hapa kijiweni  kwa kutembelea ASHURA kiduchu...



Tulainishe swala  zaidi kwa kumsikiliza Nas B akishusha kinu-Unatania Mapenzi



Au tu Gelly ,AT na Ray C waongelee maswala ya USTAARABU wa nipe nikupe katika jiwe -Mama Ntilie

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Fadhy Mtanga 7:36 am  

mkuu leo umeua...maana umesema mambo ya msingi sana kuhusiana na ushauri unaotolewa na watu mtandaoni....mwishowe unaweza shindwa kutatua tatizo lako kwa kubaki njia panda usielewe uushike ushauri upi na kuuacha upi....
Mkuu leo umenifikirisha sana na wazo lako ambalo halijatepweta kama tako la binti kimanzi....ha ha ha ha ha haaaaaaaa

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa 8:43 am  

duhu

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP