Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Weka KIPORO , kwa kuwa kina mchezo wa KULIKA tu hata KESHO!

>> Wednesday, December 29, 2010


KIPORO bado ni CHAKULA,....
..... na mengi yasiyolika LEO kwa kuwa UMESHIBA leo,....
.....kumbuka yanalika tu hata KESHO.:-(







Swali:
  • Au?
  • Unauhakika unanielewa?

NI HILO tu MHESHIMIWA na ni wazo tu HILI!:-(









Hebu Yellowman aingilie kati shughuli kwa -Still Be A Lady na Zungzungzungzeng



OUTKAST wabadili kabisa kwa-Love HATER



Weird Al Yankovic atulize boli kwa - Eat It



Halafu hata sijui kwanini , hebu "Weird Al" Yankovic arudie tu na - Fat

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

EDNA 4:27 pm  

Umenena mheshimiwa,

Mija Shija Sayi 10:59 am  

Si uongo, nakubaliana na Edna.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP