Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Wakati MHESHIMIWA yupo,... ingawa yupo CHOONI!:-(

>> Monday, December 06, 2010

Kuwepo ni UTUNDU!:-(

Na aliyekuwepo ,...
.....labda sio kuwa  ni kwa kuwa unafikiri YUPO!





Swali:
  • Si unajua kuna mpaka wanao kunya ila wakati huo WAKATI WAPO KATIKA KUNYA  wafikiriacho hakina uhusiano na tengenezo mahususi la kutoa MWILINI timba wakati wapo?

Ndio,...
... wakati KUNAWAFIKIRIAO upo ,...
....kuna uwezekano wakati huo SEBULENI ,...
...uko choooni!:-(

Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!



Tubadili kwa msaada wa Wyclef Jean katika kinu- Guantanamera



Yerba BUENA wakune kipele kwa- Guajira



Au tu Lauryn Noel Hill adinye -DOO WOP






Kinamna BADO nipo....:-(































































































































































































5 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 12:11 pm  

Mt. naona ulikuwa na wikiend jema sana kumbuka maisha ni zawadi na mtu unaishi mara maoja tu. Nimependa mtindo wako wa kuwa na marafiki:-)

Simon Kitururu 12:25 pm  

@Mtoto Mzuri Yasinta: Si unajua MARAFIKI ni kitu kina kina na sio laini namna hiyo? :-(

Ney Kitururu 1:21 pm  

Naona mmeshaanza kusherehekea X-mass, hongera sana

emu-three 1:45 pm  

Mhh, Mkuu, huo mkumbatio, wengine wanaweza kusema, ulishananihii, ingawaje kwako kunanihii ni kawaida, kama kunywa maji...ni wazo tu!

Simon Kitururu 3:58 pm  

@Ney:Hongera zanini jamani?: Matatizo matupu!:-(




@M3: Unamatusi weye!



Jisikilize ulichosema!:-(

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP