Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Ndio,...LEO bado niko STOCKHOLM, Sweden!

>> Saturday, December 18, 2010

Kama uko hapa  STOCKHOLM  na unafikiri unamuda tukumbushane angalau mambo ya  nzunzunzu nyukilia wee,...
..... nistue tuangalie miingiliano  ya RATIBA katika KALENDA  kwenye namba: +358405492707
.....na kama sijakabwa ntajibu na  tukaangalia uwezekano wa kukodoleana uso kwa uso.:-(


Au nistue tu kwenye: skitururu@gmail.com


NI HILO TU !
PAMOJA SANA WAKUU!

Hebu Junior Kelly asindikize hiyo nyoko hapo juu kwa-Love so NICE



Queen Ifrica aingilie kati shughuli kwa sindimba - Below the waist



Au tu SIMPLETON aainishe tu kwa ndude-Coca cola SHAPE


1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 1:14 pm  

Karibu sana! Ningependa kuonana na wewe uso kwa uso lakini....mmmhhh!!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP