Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kificha NYETI ni UBONGO,...

>> Friday, December 24, 2010

... na KATIKA  kiona nyeti  labda macho yanasingiziwa kwa kuwa hata yakichungulia HAYAELEWI kile  UBONGO unafanya mtu akiona ATAJUA.:-(

Na mwili wa mtu ni UDONGO,...
..... na hata nyama za mwili labda zasingiziwa na kuna mpaka KABURI la MTU laweza kutoa ushahidi wa hilo kwa WASIOJUA.:-(


Na labda HATA matatizo ya LADHA yako kwenye ulimi na sio wote MDOMO,....
.... na labda  wala sio TUMBO lenye tatizo na chakula chenye ladha iliyochacha NA mwenye njaa na asiye na chaguo la CHAKULA anaweza hilo KUJUA.:-(

Na mtu akinywa hata sumu LABDA  kiuacho sio tumbo ,....
....sumu ilikonyonyewa KUINGIA KWENYE MZUNGUKO WA DAMU  kama kizimikacho KUDUNDA ni moyo na ubongo ufanyao aliye hai  AKIFA iwe kuwa  MAREHEMU aliwahi TU kitu KUJUA.:-(

Swali:

  • SI kwa wenye macho husahau ni UBONGO uonao na MACHO bila ubongo hakutakuwa na sababu ya kujitahidi kumchungulia aliyevaa sketi fupi na kakaa vibaya kwa kuwa hakuna KILICHOKUNJA SURA huko chini kitakacho tambuliwa kama kuna macho NA UBONGO utambuao konokono katikati ya vyura hakuna ?


  • Na si  kificha nyeti hugeuka tu kwa baadhi kutambulika kama CHUPI kama UBONGO ndivyo hivyo unatambua?
Ndio,...
... kificha NYETI ni UBONGO,....
....na siri nyeti ni UBONGO uwatunziao WANAOJUA.:-(

NI WAZO tu hili MHESHIMIWA!:-(
Siku njema BASI Mkuu!







Hebu Boyz II Men waingilie kati shughuli kwa - Doin' Just Fine




Brian McKnight asawazishe kwa - Back At One




Au tu turudi Kameruni RICHARD  BONA abadili tu kwa -Eyando

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP