Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kwa kuwa KIPOFU labda ndiye aonaye!

>> Wednesday, December 22, 2010

Kuna waonao ,....
...na kuna WALIOFUNGUA macho ila hakuna waonacho!:-(


Na kuna vihitajivyo mtu AFUMBE macho ili  macho yalichokipitia kitu kilete maana kwa waonao,....
.....kwa kuwa kama kitu hakija tafakariwa INGAWA macho yalikipitia labda bado hakita kumbukwa hicho NA WATU hata kama kikombele ya kile wakilengacho waonao WAONACHO.:-(

Swali:

  • Si uumeona eeh?
  • Na  si wajua karibu kila siku kunakitu hukioni  ingawa kila siku kiko mbele yako kwa kuwa tu labda hujastukia umuhimuwake?


Naendelea KUWAZA!:-(

Hebu ABETI MASIKINI arudie-WE muloko wangu




Aboumba Masikini aje na dada yake Abeti Masikini waturudishe -Kinshasa



Au tu na Lutumba Simaro na Mbilia Bel warudie tu - Mobali ya bato

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

emu-three 7:56 am  

Kweli mkuu unaweza ukawa na macho na bado usione. Ni msemo wa `kumsuta' mtu anayeonyeshwa hali halisi ambayo pengine haipo wazi akashindwa `kubaini'.
Unaweza ukawa na masikio lakini husikii, kama mtoto mtundu, kama mtu jeuri anakanywa hiki ni kibaya lakini hasikii,...anayo masikio lakini hasikii.
Na pia unaweza ukawa sio bubu unasema, lakini unakuwa bubu kwani huongei kitu, upo bungeni kimyaaaa, umekwenda kusikiliza tu, na kusema `imepita' sawa...nk
Ninachotaka kusema hiyo ni misemo ya mafumbo, kusutana au kukejeliana!
Mkuu, naona inatosha.AU?

Simon Kitururu 8:47 am  

@M3: Nanukuu ``Ninachotaka kusema hiyo ni misemo ya mafumbo, kusutana au kukejeliana!´´- mwisho wa nukuu.

Kuna uwezekana sio kejeli wala nini hasa kama ndio halihalisi yenyewe!:-(

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP