Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Leo katika uchokozi: Kulikoni KABUMBU Tanzania?

>> Thursday, December 02, 2010

Wakati  tunaangalia  NCHI kadhaa zikijaribu kudaka mashindano ya KABUMBU a.k.a kwa lugha ya kihuni MPIRA wa MIGUU mwaka 2022 kama QATAR hapa....






Swali:
  • Hivi TANZANIA mpaka mwaka 2022 ujanja itakuwa bado ni kushangilia timu na LIGI za nchi nyingine zenye akina LIVAPUL, Manchesta Yunaitedi, RILI MADRID,Baselona au tu vinyongolokoto vingine vya kwenye FUTIBOLI za wenzetu ?


KABUMBU OYEEE!Tanzania OYEE!
Nawaza tu MKUU !:-(

Basi mwaya hebu tubadili tu wazo kwa kumdeku mke wa RAIS akionyesha maringo yake tena...

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Rachel Siwa 6:02 pm  

Inapendeza mama amejichanganya na kucheza michezo ya utoto wao,siku moja tunaweza kumuona na mama yetu akicheza rede na baba akichezea yale magari au mpra wa maratasi au siyo mzee wa uchokozi?

Simon Kitururu 3:11 am  

@Swahili na WASWAHILI: Si utani Rachel!:-)

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP