Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Tulia,......

>> Sunday, December 05, 2010

.....kwa kuwa KUNAUWEZEKANO MKUBWA ukitulia na swala ulilolipakata,....
.... kuelewa kikugusacho katika aliyekukalia wakati unampakata sio MATAKO.:-(


Tulia,...
.... kwa kuwa ukitulia labda katika USIKILIZACHO au UKIANGALIACHO wakati  kuna hata fulanifulani HABARI unapata,...
... unaweza kusikia utamu au kujua nini HASA siri ya UTAMU katika huo mtakwo a.k.a MTAKO.:-(





Swali:
  • Kwani PAPARA za nini wakati kwa kawaida KIDUDE kimeng'ang'ania tu MTU YULEYULE umpaparikiaye chooni kama tu SEBULENI?
  • AU?



Labda TULIA,...
...kwa kuwa labda KUNA KITU unaweza kuelewa MHESHIMIWA,...
...hata kikiwa NI KILE kidude  KIDOGO TU kama cha ni kwanini MWENYE KANZU labda anahitaji bado CHUPI .:-(


Ni WAZO TU HILI MKUU!:-(


Hebu  Ambelique arudie- New Sheriff In Town


Au tu mdau Ambelique arudie tu na kinu - Labamba



Na LABDA  tu na Rihanna ajaribu kuchezea MASWALA YA  kikubwa KIKUBWA swala -Man Down

3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 4:49 pm  

Leo mie nanyamaza jamani!! oh! nimesema lakini:-(

Fadhy Mtanga 10:46 pm  

Yasinta umenyamaza ama umetulia?

Simon Kitururu 5:30 pm  

Mmmmmmmmh!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP