Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Katika MCHEZO uitwao MAISHA,.....

>> Wednesday, December 08, 2010

.... kuna wakati ni  WENYE ROHO MBAYA ,....
.....ndio IONEKANAO WAMEWINI katika mfumo mkweche,....
....ambao unatawala vipimo vya NANI KAWINI hapa katika Dunia.:-(


Chakujiuliza TU  ni kwamba;...
....JE IDHANIWAO wamewini aka WAMEFANIKIWA ni kweli WAMEFANIKIWA ikiwa mafanikio ni kama kifaranga cha KUKU ambacho  kwa MWEWE janja za KUKU  wala sio UJANJA kihivyo?



Naendelea KUWAZA!:-(


Au tu BUNNY MACK aingilie kati kipengele kwa -SUPAFRICO




Au tu Bunny Mack arudie tu na -Let Me Love You

3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

emu-three 1:30 pm  

Kuwini kwa ujanja , hakuna furaha, angalia matajiri mwenye mali kibao, lakini hawaishi kwa raha, kwanini? Kwasababu jasho la mali waliyo nayo imetokana na dhuluma! Au Mkuu huaona, jamaa ana kila kitu cha kifahari, lakini ukimchunguza sana hana raha...mapenzi na mke wake hayapo, walinzi mpaka choooni, kwanini...nawaza na kuwazua, nahisi ni jasho la kuwini kwa ujanjaujanja, AU?
Ni hayo tu mkuu

Mija Shija Sayi 2:51 pm  

Kwa jicho la nje unaweza danganyika kwamba wamewini, lakini kwa la ndani hawajawini kwa lolote.

Yasinta Ngonyani 3:15 pm  

Maisha:-)

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP