Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

CHAKULA!

>> Tuesday, December 21, 2010

Kama kuna kuwa NA NJAA  duniani,....
.....labda pia  KULA sana nako  kupo.!


Na alae sana na kujilimbikizia chakula sana hasa  CHA akili kiduniani,.....
.... ya imani KIMUNGU yanaweza kufanya tushuhudie  kupitia  kwake KUWA kwa imani kudorora nako  kupo!:-(


Swali:

  • Si inasemekana IMANI na kutumia akili sana  vinamsuguano kitu kifanyacho KWA KUTUMIA akili SANA viaminiwavyo huweza KUTAFSIRIKA kuwa ni UJINGA?



NI wazo tu hili MKUU!:-(

Hebu Bill Trotman abadili mkao wa wazo kwa - Leggo Meh Bamboo



Au tu MwanaFA akokotoe kwa-Bado niponipo!

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP