Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

LABDA hakuna watu WAWILI wenye aibu sawa WAWEZAO kuwa WAPENZI au angalau kuwa na UJASIRI WA kuvuliana NGUO!:-(

>> Wednesday, December 15, 2010

 [Tahadhari: Taralila hii KIMANTIKI haina uhusiano na NGONO!:-(]



Inahitajika taaluma ya ya hali ya juu HATA  KUANGALIANA  TU,....
......kama wote  MNAAIBU.:-(





Ingawa inaweza kuwa ni mchezo mzuri kweli  hata KUANGALIANA tu,....
.... hasa kama WAWILI MNAPENDANA na sio wewe katika mchezo wa kupandishana jazba za hata mawazo ya uasherati  ikiwa WEWE katika hao wapendanao wawili ndio yule asiye na AIBU.:-(






Ingawa hata MWENYE AIBU hapo  anaweza kustukia nguvu ya kupiga chabo hata MOJA TU katika KUANGALIA TU,....
.....hata maeneo yenye sehemu  za mwili za mwenzie  ambayo kisiri ndio yanaweza kufanyiwa kazi BAADAYE  kimapenzi  MAMBO YAKIJIPA na kugundua  kuwa CHABO MOJA TU  hutosha sana kuona karibu kila kitu  utakacho KUONA vyema tu hata ikiwa ni katika tu KUPANDISHA  tamanio vya kutosha ili kusaidia kushusha au hata kuondoa kabisaa AIBU .:-(

Swali:
  • AU?
  • Unafikiri hapa naongelea nini kama NIONGELEACHO sio swala la URODA? 

Labda
KUNA UKWELI,...
....kunahitajika UJASIRI,...
....angalau wa mtu MMOJA katika kundi la watu WAWILI,....
....ili ya WAWILI yafanikiwe!:-(
 


Ni wazo tu hili MHESHIMIWA na bumbuluka nalo tu kilikukunavyo tu kiakili  MKUU!:-(

Kama vipi, basi PAPA WEMBA ngojea tu aendelee kushusha vitu kwa - Oldies are goodies



Au tu Papa WEMBA atulize tu boli kwa nyundo-Show me the way

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP