Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Wakati kitu KINAWEZA kuwezeshwa ili KIGEUKE DHAMBI!

>> Tuesday, December 07, 2010

Dhambi huwezeshwa NA tafsiri,....
....kwa hiyo CHOCHOTE chaweza KITAFSIRI kuwa dhambi.:-(


Na kwa kuwa wengi hufunzwa nini ni DHAMBI kutoka kwa za watu wengine tafsiri,....
......chakusikitisha  bado ukweli uko PALEPALE kuwa ni mtu mwenyewe na wala sio TAFSIRI za watu wengine zifanyazo mtu awe na DHAMBI.:-(


Nawaza tu MHESHIMIWA!

Hebu Vivian Jones abadili wazo kwa-Ethiopian Eyes

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP