Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kwa kuwa KUNA waliochungulia NA KUCHUNGULIWA kitu wengi WAKAAO kimya!

>> Tuesday, December 14, 2010

Kwa kuwa WENGI katika MENGI hata YALE  yasiyo ya kuchunguliana
HUKAA kimya,....



...YALEYALE  huendelea,...

....LILELILE  kwa wasiosimuliwa KITU   hurudiwa,....
.....HIKI HIKI  uchukiacho KWA WENGINE  kitaota mizizi,....
.... na WALEWALE wasio yule MKAA KIMYA katika urithi wa TATIZO watakuwepo wakati hatuna uhakika kama kuna kitu UJUACHO ungekisema na kutokaa KIMYA labda matokeo yangekuwa MENGINE !:-(


Swali:
  • SI inasemekana kuna watu mpaka ZILE TAMU huzifanya siri kwa kukaa KIMYA ili wengine wasisikie nao KUFAIDI?


Na inasemekana kuna SABABU za ajuaye kachungulia ,...
... kama yule kwa makusudi aliyechungulia ,...
....KUKAA kimya wakati  kaona kitu,...
....ingawa INAJULIKANA kuwa kunauwezekano MKUBWA PIA hakuna mtu MWENYE SIRI  DUNIANI kama ana mtu  amuaminiye katika SWALA wakumwambia.

Swali:
  •  Unauhakika AKAAYE kimya anastaili KULAUMIWA wakati  angekuwepo anayemwamini angemuelezea kuwa siri kuwa kisa hafanyi UMALAYA  ni kwakuwa ananuka sehemusehemu na wala SIO KWELI  anazuiwa na imani yake ya KILOKOLE?
  • SI inajulikana  hata CHAUMBEYA ajulikanaye  kwa kuongea ovyo ,...
....yasemekana huchagua ni UMBEYA upi unamfaa MTU gani na kwahiyo hata katika MASHOGA ZAKE huchagua ni lipi  lamfaa YUPI katika swala zima la nani wa KUMTETA leo?





UKIMYA!

Lakini TUKIACHANA NA YOTE,....
...kwa kukaa KIMYA unaweza kuchangia kama sio MTU ,...
...basi hata MBWA afe kisa kunakitu unajua na umekaa KIMYA!:-(




Nawaza tu  hapa MKUU!


Tubadili wazo na Burning Spear katika-This Experience

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP