Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

KURAHISISHA shughuli ndio kitu BINADAMU wajaribucho KUFANYA hata katika mambo yasiyo MAGUMU!:-(

>> Wednesday, December 22, 2010

Lakini labda kujaribu  KURAHISISHA ujumbe,....
..... ni  aina tu ya KUJISHEBEDUA kwa kufikiri  watu uwapao UJUMBE ni wajinga kwa hiyo UJUMBE MGUMU hawaelewi.:-(

Swali:
  • Si inasemekana kuna wajaribuo KULAINISHA ujumbe hata kabla hawajajua WAMPAE ujumbe katika hoja uelewa wake MASWALA ukoje?




Ndio,....
.... karibu kila kitu BINADAMU afanyacho ni katika tu kujaribu KULAINISHA angalau ugumu wa maisha,....
....ingawa inajulikana kuwa kuna MAMBO inabidi MWANADAMU ayaache tu yaendelee kuwa MAGUMU kama nia ni kuendelea kuwa BINADAMU mwenye afya kiakili na KIMWILI!:-(

Swali zaidi:
  • SI inajulikana kuwa MTU akirahisisha sana mambo matokeo yake anaweza kujikuta kageuka BWANYENYE mwenye mpaka matatizo ya kiafya kisa UVIVU uambatanao na  kula kulala tu  umeharibu mpaka uwezo wa MTU  kiushughulikia kivitendo hata yale yaonekanayo RAHISI?



Naendelea KUWAZA!:-(


Hebu tupate Mokolo Nakokufa / Minha Angola kutoka kwa nguli - Sam Mangwana



Au tu Tabu LEY arudie ndude hiihiii-Mokolo Nakokufa




Mutu muzima Tabu LEY aongezee  kitu-Sarah



Au tu Tabu Ley aje na Mbilia Bel tu katika jiwe - Shauri Yako


0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP