Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Mchango wa JICHO LA MTU katika MHESHIMIWA kutoona kitu ajichunguliacho HATA KAMA sio tu BAFUNI!:-(

>> Tuesday, December 07, 2010

Kwa kuwa MTU ana jicho,....

.....akikupita si lazima KAKUONA hata kama alikokuwa ANAANGALIA ni hukohuko ulikokuwepo kwenye MITUMBA!:-(


Na haki ya nani  MWENYE KIBURI katika swala la kuona kisa KIONEO anacho,....

..... kuna uwezekano MKUBWA ndio  ambaye akichungulia TITI haoni umaridadi wa CHUCHU ingawa kitanguliacho TITI huwa ni CHUCHU hata katika  wa nyonyo UKIRITIMBA.:-(

Swali:

  • Au?
  • Si unajua ni  kweli LABDA wewe hakuna siku ulijaribu kujichungulia KITU bafuni lakini?


Ndio,...
...Kuangalia  kama tu KUCHUNGULIA hata faragha za MHESHIMIWA  ,...
....sio lazima ni kuona KITU  chenye baka kwenye za KIHESHIMA faragha ambazo mwenye uwezo wa kuona  maene anayapiga CHABO  ,....


.....hata kama hapa hatuongelei MABAKA ya kitumbua KIHESHIMIWACHO KIANGALIWACHO   kilichoungua ambacho hakionwi sehemusehemu ambazo ziko MSWANO tu KIHESHIMA kikitumbua na MWENYE MACHO.:-(



Ni wazo tu HILI MHESHIMIWA!:


Hebu SIJUI KWANINI ila  tupate tu  busara ZA KINAMNA  za MKE wa Rais....



Au wakati tuna MSIKILIZA Mheshimiwa Rais Kibaki kiaina tupate pia  busara za mke wa RAIS tena.....



Au tu Ella Fitzgerald abadili kabisaa kwa ndude - It Don't Mean a thing

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP