Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Nawatakieni NOELI njema WADAU wote wa BLOGU HII!

>> Friday, December 24, 2010

Ndio huwa sisherehekei HII KITU,...
.....kwa sababu KADHAA wa kadhaa ,...
...au ngojea nijaribu kujielezea KUHUSU kwanini shamrashamra  hizi NIKIWAZA huwa zinanikwaza......




Kwa msherehekeao,....
.....KHERI ya X-MASS!








Asanteni sana pia  WADAU wa  blogu ya,....
....CHEKA UPASUKE ,....
......kwa kadi mwanana hii....



Tuko Pamoja sana tu  Wakuu hata katika SIKU za kubunia ANGALAU tarehe kama HIZI !






Hebu watoto wa mujini ya  BONGO kwa jina UMABE arts COMPANY warudie  tena jiwe -MERRY Xmas AND HAPPY NEW YEAR!

9 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

EDNA 11:02 am  

Xmas njema kwako pia MTAKATIFU wa WATAKATIFU.

Simon Kitururu 11:59 am  

Asante Edna!

Nimekutumia pilau kwa njia ya posta maana nimestukia pale kijiweni kwako unavyolalamikia uadimu wa manukato ya Pilau Sweden!:-)

emu-three 12:55 pm  

xmass njema, natumai huta-over do mkuu ...lol

Simon Kitururu 1:11 pm  

@M3: Xmas NJEMA kwako pia Mkuu! Binadamu ni vigumu sana kuover do lakini!

Sio siku yangu hii ya kusherehekea kwa hiyo vigumu sana kwangu kuharibu!:-(

mumyhery 1:47 pm  

shukran Mtakatifu nawewe pia twakutakia kila la heri na mafanikio zaid katika mwaka 2011

Yasinta Ngonyani 3:43 pm  

x-MAS IWE NJEMA PIA KWAKO WATAKATIFU WOTE WATAIMBA PAMOJA NAWE. nOELI NJEMA:-)

malkiory 2:36 pm  

Mkuu heri na kwako pia.

Faith S Hilary 12:17 am  

"Ee bwana eh...basi bwana" HAHAHAHAHAHAHAHAHAHHAAHHHHAHAHAHAHAAAAAAAAAAAAAAAAA I can't stop laughing! Mbona umegoma kuendelea kuongea jamani? haha...Merry Christmas to you too bro! x

Simon Kitururu 11:23 am  

Asanteni wote!

@Candy1:-)

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP