Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kuna madhara ya KUKOSA wa kumuigilizia ustaarabu hata wa BAADA ya kwenda haja NDOGO kujifuta utupu!:-(

>> Monday, December 27, 2010

Na ukikosa ROLE MODEL,...

.... kwa kujifunza mwenyewe UYAJUAYO hata kama kwako ni USTAARABU na juhudi zako za kuyajua zinahitaji KUPIGIWA MAKOFI,...
.... kwa wakuangaliao kwa pembeni wasiofuata ustaarabu wako wanaweza kukuona weye MWANAHARAMU TU!

Swali:
  • Si unajua moja ya kwanini WENYE MYWELE za RASTA kama ZANGU Simon KITURURU hawaheshimiki sana na baadhi ya watu DUNIANI  kwa kuwa kwa USTAARABU wao hawajawahi kukutana na kuona MWENYE NYWELE ZA RASTA astahilie KUHESHIMIWA hasa kutokana na misingi ya USTAARABU wao kutofautiana kitu kiwezacho kuwafanya wafikiri kuwa ni kweli yeyote MWENYE Rasta labda SIO MCHAFU, hatumii madawa ya KULEVYA au tu SIO MVIVU wa mambo mengine yoyote ya kujenga jamii KISTAARABU kama yafanywao na wenye VIPARA na BONGE la kitambi hata kisicho cha uvivu wa kwenda haja KUBWA?


Ndio,...
...wenye VIPARA na vitambi wana wawakilishi katika wadhaniwao ni WASTAARABU,....
... kama tu watembeao uchi KISTAARABU kwa kuwa jamii inakubali ustaarabu wa KUUZA SURA KI-UMISSI KARIAKOO,...
....na kwa hiyo kionekanacho kama CHUPI kikiitwa ni nguo ya KUOGELEA kwa wastaabu hawatakiona ni chupi hasa kama mayoyanyoya ya sehemu za siri ya KIMWANA yalikatwa kabla hajatembea kwa mwendo wa MARINGO mbele ya MAJAJI akitingisha vitako vidogo VIPENDWAVYO katika ustaarabu wa UMISSI NANIHII,....
...na kwa hilo na MAMBO kama HAYO JAMII ndio  hupata ustaarabu na WASTAARABU wa kuwaigilizia KATIKA JAMII.:-(

Swali:
  • AU?
  • Kwani huna MAFISADI wakupao hamu ya kuwaigilizia USTAARABU wao wa KIFISADI wakati ndio WAHESHIMIWAO kwenye jamii?

Ndio,....
..... kuna MADHARA ya kukosa wa kumuigilizia,....
... na moja la MADHARA yake yasemekana ni kuweza MPAKA  kumgeuza KIJANA ASIYE MSENGE mwenye hamu ya kujua YA UKUBWA wafanyayo WAKUBWA FARAGHANI kugeuka BASHA ili ale JICHO la KALIO LA MWANAMUME MWENZAKE wakati MADEMU wapo na mgao wa embe dodo nzuri tu iliyotuna na ISIYO HARAMU kisa wameigilizia kusikofaa KUIGILIZIWA!

Ndio,...
....PAMOJA na mapungufu yake HILI NI WAZO TU MHESHIMIWA na usikonde!:-(


Hebu UB40 katika kubadili MKAO hapa kijiweni warudie-Tell Me - Is It True ?




Au tu SHAGGY abadili zaidi kitoweo kwa PAMBIO iitwayo- Boombastic

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP