Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Uzuri wa CHUKI hata kama kichukiwacho sasa hivi ni CHUPI na sio MTU.:-(

>> Thursday, December 23, 2010

CHUKI huweza kuwa ndicho KIMPANDISHACHO mtu,....
....nguvu ya kutatua swala ALICHUKIALO.:-(


Swali:
  • Hivi unafikiri hakuna uwezekano WATANZANIA kuna kitu hawajakichukia vizuri kama CHUKI zao bado hazifanyi kivitendo yadaiwayo kwa maneno yanachukiwa  KUTATULIWA badala ya kuwa ndio kwanza yananeemeka?

  • Kwani unauhakika ASILIMIA MIA hakuna uzuri wa kuchukia hata MTU kama mapendo yako ndio yangemtia matatizoni ?

Ndio,...
.... labda kila KITU kina UZURI WAKE PIA ikiwemo mpaka CHUKI.:-(


Ndio,...
.....labda hata SHETANI ana UZURI WAKE  kama ndiye akufanyaye ujipendekeze kwa MUNGU ili usiingie mkenge na kuvaa ihubiriwayo ya wenye DHAMBI  uaminio ni ichukiwayo na  MUNGU WAKO hata kama huamini MUNGU WAKO ana  CHUKI!:-(


SAMAHANI naendelea KUWAZA......:-(






Hebu SHA SHA JONES arudie-Blow my MIND



Au tu BAHA MEN waingilie kati shughuli kwa -WHO let the dogs out?

3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

EDNA 6:22 pm  

mmmmmh,

Anonymous 8:30 pm  

Darasa tosha.

Yasinta Ngonyani 9:44 pm  

Kaazi kwelikweli hapa!!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP