Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kama unaujua WIMBO MZURI kunastarehe KUUIMBA hata kama weye sio MUIMBAJI MZURI!

>> Tuesday, December 07, 2010

Ndio,...
...sio kila MTU ni mzuri KITANDANI,...
... ingawa  hata katika kubahatisha UTAMU ,...
....bado ASIYE FUNDI anasikia tu naye utamu kama kawaida vizuri tu wa CHAKULA kama wasifiwao kwa kujua kiufundi kula  AKILA hata kusiko  mezani.:-(


Swali:
  • SI unajua UFUNDI labda umezidishiwa tu SIFA kama KACHUMBARI ni tamu tu bila ufundi mwingi wa KULA?
  • Si umeshawahi kuona asiyejua kuimba aonekanavyo na furaha ajaribuvyo KUIMBA wimbo aupendao hata HADHARANI ingawa hajui jinsi ya kuuimba vizuri na ana sauti kama CHURA?

Ndio,...
... hata katika KABUMBU,...
...sio kila mtu ni MARADONA ingawa gemu lamnogea tu ki- PELE.:-(

Niwazo tu MHESHIMIWA Kijeba!:-(


Hebu tu Mighty Sparrow anyuke tu kwa ku SHIKASHIKA  kipengele kwa-Don't Touch Me President


Au tu tuendelee naye tu Mighty Sparrow akibinya kwa ndude - Melo

1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 11:12 am  

nukuu "Si umeshawahi kuona asiyejua kuimba aonekanavyo na furaha ajaribuvyo KUIMBA wimbo aupendao hata HADHARANI ingawa hajui jinsi ya kuuimba vizuri na ana sauti kama CHURA?" mwisho wa nukuu Sauti kama Chura hakika nimecheka sana kwa msemo huu na mbavu zaniuma sasa.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP