Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

AMANI huhitaji ADUI,.....

>> Tuesday, December 14, 2010

....kwa kuwa ,....
....LABDA.....
.....amani HAINA MAANA,....
........kusipokuwepo na MAADUI ambao wanaweza kuwa ANGALAU tu  ni kama,....
...kutoridhika tu na YAKO kisa unayafananisha YAKO  na ya WENGINE.:-(

Swali:
  • SI unajua WENGINE labda sio WENZAKO?


Ndio ,...
...unaweza kukosa AMANI  ,...
....na ukichunguza ukastukia kuwa ADUI ni wewe mwenyewe.:-(


Ni wazo tu hili MKUU na wala usikonde!:-(


Hebu tuliache na kumsikiliza SHABBA RANKS akiongelea-WILL POWER



Au basi SHABBA RANKS agusie tu tena -RESPECT

1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

emu-three 8:13 am  

Unanikumbusha wazo la hasi na chanya, kuwa ili hasi ijulikane lazima chanya ipo,...ili uadui uwepo lazima kuwe na msigishanyo, ambao tuhoteka kati ya mahasimu wawili. Na kupatana kwao ndio amani
Lakini neno amani lingepatikanaje kama kungelikuwa hakuna msigishano, huenda msimaiati huo usingekuwepo kabisa kama ni hivyo!

Nimekupata mkuu!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP