Leo katika kipindi cha Breakfast kinachorushwa na Redio ya Clouds FM Afisa uhusiano wa TANESCO ameishutumu kampuni ya PAN AFRICA Enegy ndio inayosababisha matatizo haya ya Ugawaji wa umeme uwe haufuati Ratiba.
Hayo aliyasema baada ya kuona shutuma nyingi zinatumwa kwa TANESCO badala ya kampuni hiyo inayo iuzia Gesi Tanesco kwa ajili ya kuzalishia umeme. Ameyasema haya ili kampuni ya PAN AFRICA nayo iwaeleze wananchi ni kwa nini umeme mgao wake haueleweki.
Tanzania kwa kipindi cha zaidi ya miaka mitano imekuwa na matatizo ya umeme yasiyo isha.
KAPINGAZBlog inampongeza kwa kuonyesha ujasiri, kuamua kutueleza wananchi nani anayetusababisha kupata umeme kwa mgao usioeleweka, pia tunapenda kuwashauri wajitahidi kutafuta vyanzo vingine vya kupata nishati hii muhimu kwa maendeleo ya Taifa.
... hata ya kufikiria kile kiaminikacho ndio KIHITAJIKACHO!:-(
Swali:
SI SHILINGI iliyopo labda inamchango mkubwa kuliko ITARAJIWAYO ambayo hatunauhakika itakujakuwepo?
Si kidude cha ZUBEDA labda kinatosha hata kama aliye na ZUBEDA anaamini ahitajicho ni kile cha KHADIJA?
Na vidhaniwavyo vingi si nasikia ni VYAKUFIKIRIKA kama kilichopo hata kama ni ugali tu kwa maharage hicho ndio bonge la NGUNA kwa rojo?
Ndio,...
..... kilichopo labda ni MUHIMU ZAIDI ya kile kidhaniwacho ndicho chahitajika,...
....... kwa kuwa nguvu ya MAHITAJI labda inamisingi yake ambayo ni muhimu zaidi hata kama ni kwasababu tu inawezesha mtu mpaka kufikiria MENGINE kistaili ya MAHITAJI!:-(
Ni wazo tu hili NGULI ,...
.... na wala USIKONDE!:-(
Hebu Kevin Hart ajaribu kubadili kwa kuongelea - Other peoples personal problems
Capleton aingilie kati na kurudisha bolingo katika - That Day Will Come
I-WAYNE ajaribu tena kukiri - Can't satisfy her
I Wayne aongezee dozi kwa kukiri pia - Need Her In My Arms
Halafu sijui kwanini ila hebu FALLY IPUPA aibadili tena kwa -CADENAS
Halafu LOKUA KANZA afunge tu ukurasa kwa - NAKAZONGA
.... ili siye wenye sura mbaya tujisikie vizuri kwa kutojiona!
Swali:
Si kujiangalia ndio saa nyingine hukumbusha mtu ujazo wa pua kama jipu?
Ila TATIZO tu ni kwamba,...
..... kuvunjika kwa KIOO kusababishako MTU asijione,...
.... bado hakubadili SURA ya MTU!:-(
Swali:
Si hata tufanyeje kukwepa kutambua tatizo lipo kwa kutoliangalia huwa hakuondoi tatizo?
Na si WASENGE wapo tu BONGO hata kama jamii inadai hawapo na matatizo yao yasitambulike ingawa yapo?
Ndio,..
..... moja ya dalili ya matakwa ya MWANAIDI kioo kivunjike ,...
.... labda ni yale ya kumlaumu MESENJA wakati afanyacho ni kuwakilisha tu meseji ambayo ipo tayari na wala yeye mesenja hahusiki katika mtengenezo wake!:-(
Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(
Hebu twende tena Zimbabwe ili Oliver Mtukudzi aanzishe kwa - Neria
Oliver Mtukudzi arudie- Ndakuvara
Oliver Mtukudzi aongezee dozi kwa - Tozeza baba
Aongezee zaidi tena-Todii
Au tu tena Ringo Madlingozi aingilie tena kati kwa -Into Yam
..... na KATIKA nanihii labda kweli ni UJEMADARI,...
.... kama KUINGIZWA mtu kichwakichwa kwenye giza asikokujua ni UJEMADARi ,... ..... kama tu katika UJEMADARI wa VITA ambayo nanihii itabidi ingie gizani kichwakichwa,...
.... bado ni UJEMADARI labda kwa kuwa MTU kiaina ni kichwa kwa kuingia waogopako WENGINE kwa kuwa hakijulikani kilichondani huko kwenye GIZA!:-(
Tahadhari:Inawezekana kile kidude kifananacho JINA ambacho hata mbwa na sungura wanacho -LABDA hakimaanishwi hivyo katika TARALILA HII iliyopinda kiwazo na KITARALILA HII !:-(
...labda kama hakuna afikiriaye labda hakutakuwa na JEMADARI asifiwaye kwa YALIYOWAZI njenje ,...
.........na tutabaki na wenye sifa zenye UJEMADARI kimboo wa kuingia kwenye matundu ya giza bila kutumia macho , pua au hata KUHOJI kiakili JAMBO kwa kuwa NI HISIA TU HILO na sio HALIHALISI kiukweli ndio MUONGOZO kuwa TAMU !:-(
Swali:
Na si SUKARI nasikia ni tamu KIHISIA hata kama imetiwa SUMU?
Si wewe KWA WENGINE labda ni jengo tu la mtalimbo KIKIFIKIRIWACHO TU KIHISIA kisa umevaa MIDABWADA wakati ukweli ni kuwa wewe ni NGULI utatuaye kwa UBONGO na sio MTALIMBO ?
Na kwa kuwa kuna wajisifiao MJENGO kihisia,...
.... labda MTU asivimbe KICHWA kwa kuwa ukweli wawezakuwa BADO ni kwamba KIHISIA TU kuna wasifiwao kama tu WALAANIWAO kwa ya kweli amabyo MTU akiyafikiria na KUNYAMBULISHA kwa kutumia AKILI na si HISIA TU kuna kitu kinaweza kumstua kuwa si kweli harufu ya WALI ni lazima iwe kuna WALI kwa kuwa INAJULIKANA kuna mpaka NYOKA wanukiao KIUBWABWAUBWABWA.:-(
Swali:
AU?
NA ndio ,... ...labda JEMADARI kikuma yupo pia kwa ya JEMADARI kimboo,.....
....kwa kuwa pamoja na kwamba mambo mengi sio UDHU na hayahitajiki kwenye JENGO na hayana uhusiano na UMALAIKA uingiliwao mtalimbo ingawa yapo ndani ya JENGO,...
.... kihuswishwi cha KITU BORA labda sio tu kiko kwa NJE KIONEKANAKO KIRAHISI kwa kuwa vingi bora viko NDANI na UJEMADARI kikuma ni ile ruksa ya kuruhusu visivyotathiminiwa viingie ndani KUCHOKONOA vyenye MALIGHAFI BORA kitu ambacho kikuma LABDA ni UJEMADARI!
Swali:
Si unajua kwa ndani hata ya jipu hakuishi usaha tu peke yake na na labda ni UJEMADARI kuruhusu SINDANO kimtumbuo?
Na kwani JENGO kanisani AU msikitini ni lazima WASWAHILINA au WALOKOLE wawe ndani ili kisala SALA itoke STIRIO?
Ndio MHESHIMIWA ufikiriaye mpaka neno MBOO au KUMA ni tusi,...,... .... labda MATUSI yako ndani ya ufikiriavyo KIHISIA TU ZAIDI kuliko halihalisi ya TUSI au utendavyo kuliko hata jengo ambalo ni NENO,...
... na KIHISIA kama kimaneno labda ya hata ´´KHADIDJA HAJAVAA CHUPI ´´haibadili ukweli kuwa kivitendo yaweza kuwa ni kweli ``KHADIDJA hajavaa CHUPI´´ na sio HISIA hiyo .:-(
Swali:
Si unajua tusi la ukweli laweza kuwa bado ni HISIA tu ZA MTU?
Ndio,...
....kwa UNDANI,...
...... labda BINADAMU hana undani sana na ndio NDANI kwenye GIZA hata kama sio ndani ya kidude cha MTU kunawezatisha WATU au ndio maana kirahisi ana MPAKA dini ambayo anaamini ni sahihi kiasi kwamba waaminivyo wengine sio SAHIHI ,..
... wakati anajua misingi ya IMANI ni imani na imani haina ushahidi kama tu wengine waaminivyo KIHISIA ZISIZO NA USHAHIDI ambazo kiana zajenga UJEMADARI wauaminio ambao kwa lugha ya kipicha unaweza kuuoanisha na vitendo vya sehemu za siri vya ujemadari wa kuingia au kuingiliwa kwa ukakamavu bila woga wala kutumia akili ingawa zaweza samehewa kwa kuwa SEHEMU ZA SIRI HIZO kimboo au kikuma hazina UBONGO.:-(
NIMEACHA wazo hili nyoko MHESHIMIWA!!:-(
Hebu IPHY OKOLI aabadili kwa kuanzisha mchezo upya kwa -Ifeome
Lil' Kim ajaribu kugusagusa eneo kwa - No Matter What They Say
Au tu hebu Missy Elliott amalizie tu,...
............kwa kusema ukweli kuwa - She's A Bitch