Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

ALIYE JUU akianguka CHINI KIDOGO,....

>> Monday, April 12, 2010

.... stori ZITAKUWEPO,....
....ingawa STORI NYINGI zaidi zitakazo kuwepo ni za kutungwa.:-(


NA ALIYEJUU akianguka CHINI KABISAA ambako ni chini zaidi ya ile CHINI KIDOGO,...

....kikubwa WALA SIO stori ZITAKUWEPO,...
.... bali  ni jinsi gani ALIYEANGUKA anakubali kwa haraka KAANGUKA ili ajifute mavumbi kwa haraka na KUANZA UPYA HARAKA kabla hajageuzwa kuwa wa KILE KITENDO CHA KUANGUKA mtumwa.:-(

Swali:
  • Si ukianguka umeshaanguka na hata ufanyenini hauwezi kubadili ukweli kuwa umeanguka?

  • Na ukianguka kifuatiacho ni kuinuka tu?
Ndio,....
.....UKIANGUAKA stori zitakuwepo mpaka kwa wasiohusika,....
......lakini KIKUBWA  kumbuka KUWA  hizo ni stori tu na labda ni mpaka uziruhusu zikuingie MUKICHWA ndio zinaweza kukufanya ujisikie MPAKA kama umevaa chupi chafu halafu watu WASAFI wanajua siri YAKO ujaribuyo kuitunza kwa makini HIYO.:-(


NI WAZO TU hili  MHESHIMIWA!
SIKU NJEMA!

Hebu The Blackstones warudie kitu - Sentimental Reasons



Au tu BLACKSTONES warudie tu tena na ndude - SWEET FEELINGS

1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 4:54 pm  

Simon:-)

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP