Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Katika moja ya MTAZAMO WA JITIHADA za MWANADADA MZURI kubakia na MPENZI MMOJA!

>> Friday, April 02, 2010

[Tahadhari: Tararila ina wazo lililokaa vibaya!:-(]


Yasemekana PENZI halina mipaka,....
.... na ili penzi lako la MAANDAZI LIDUMU wakati  kila siku unaona vitumbua na keki  INADAIWA utumie juhudi za kushika breki  usije tu   kujikuta umerukia mpaka viazi vitamu  kwa muonekano tu na ukavuka MPAKA.

Swali:

  • Hivi una uhakika kuwa kama wewe ni MPENDA VIAZI VITAMU kwa CHAI huwa mapenzi yako ya VIAZI VITAMU kwa chai yanashushwa makali kisa  kwa adoado  asubuhi nyingine unagida CHAI kwa maandazi au UJI wa mihogo kwa VITUMBUA?



Ngoja turudi kwenye hoja kuhusu huyu MDUDE aitwaye MDADA;......




Kwa kuwindwa MWANAMKE anajulikana,...
... ingawa kwa KUWINDA  ni mahiri mpaka  adakwaye anaweza katika mawindo anaweza kwa kutostukia ni yeye aikuwa anawindwa na wala hakua mwindaji ndilo laweza kujulikana.

Kwa VISASI mwanamke ni risasi,...
... na kwa bahati mbaya kwa kulipiza VISASI anaweza akawa mpaka ni BUNDUKI na RISASI.



Na kwa huruma yasemekana MWANAMKE anaweza kuzaa mpaka na mwenye UKOMA,...
... na kama weye ni fundi wa kutia huruma kwa huruma kuna  MDADA anaweza  mpaka kukupa mbele na nyuma  wakati kwa huruma anakumegea UKOMA.



Swali:

  • Hivi kwa ujuavyo MDADA awindwavyo si unaweza kusahau MKAKA akipata mawindo kuwa katika mchezo huo  kufanikiwa ni MDADA ndiye mara karibu zote huwa MARADONA?
  • Unathamini JUHUDI za mpenzi wako adaiye ni wako tu  kubakia wako tu ?


NIMEACHA,... unajua ni PASAKA!
NA usitishike  kwa wazo ligusialo MDADA zaidi ya NJEMBA  hasa ukikumbuka hili ni WAZO TU MHESHIMIWA!:-(
AU?

Tubadilishwe wazo na NINA SIMONE katika -Young Gifted and Black




Nina Simone aingie ndani zaidi katika kuongelea ya roho katika-If U knew




Au tu NINA SIMONE alete pia ndude ambayo maneno yake hunitekenya sana tu katika- Ain't Got No...I've Got Life

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP