Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Umuhimu wa KUTOMUELEWA Maimuna katika kurahisisha FARAJA umuelewapo KHADIJA!

>> Monday, April 05, 2010

Labda ni tabia MBAYA kujisikia vibaya kwa kuwa tu humuelewi KHAMIS,...
....kwa kuwa kutomuelewa huko  kwaweza kuwa ndiko KUSAIDIAKO kufarijika kwako wakati unamuelewa KADALA kirahisi.:-(


Na labda PIA hata kutokuuelewa kwako UHANISI,...
...ndiko kusaidiako mpaka FARAJA za kudhani kwa kuwa  kuna viagra basi tatizo la bamia-nyama tepwetepwe si tatizo kwako kwa kuwa  bila maringo LINATIBIKA kirahisi.:-(



Swali:
  • Lakini hufikirii kutomuelewa kwako MUNGU husaidia kutomuelewa kwako SHETANI?

  • SI kuna uwezekano UNANIELEWA hapa?


Ndio ,...
.... hata KUTONIELEWA KWAKO kunaweza kuwa NDIKO kunakusaidia sana kufarijika wakati UNAMUELEWA paka au hata tu BLOGU YA MTU mwingine.:-(

NIMEACHA!
Kumbuka ni wazo tu hili MHESHIMIWA!
SIKU NJEMA MKUU!


Basi ngojea GREGORY ISAACS arudie -IF I don't HAVE U


Oliver Ngoma arudie ndude-Bane



Au tu Oliver Ngoma arudie tena mdinyo- Julie


Halafu sijui kwanini lakini ngojea tu na SEAL abandue kwa-Kiss From A Rose

4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Unknown 2:17 pm  

si mawazo tu mkuu bali points za nguvu. ahsante kwa kuamsha ubongo. Ukimfuata mfikiriaji utajifunza kufikiria. napenda staili yako.. ni tofauti sana na blog zingine.. you have a fan!

John Mwaipopo 4:33 pm  

kama kawaida nikukuelewa kidooogo. ni heri kukuelewe kidogo kuliko siku nyingine ambazo huwa natoka sufuri. this style!

Yasinta Ngonyani 5:16 pm  

Kuelewa:-) Mt. ahsante kwa huo mziki wa Oliver Ngoma maana nimenengua hapa na nikajikuta kama nipo madagarcar:-)

MARKUS MPANGALA 10:29 pm  

tamutamu embe bila kulambia ulimi na mlainisho mate?

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP