Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Labda ni kweli kuwa USO MZURI uonekanao UNAWEZA kumsingizia KIBWENGO afikiriwe ana sehemu za siri NZURI pia!:-(

>> Wednesday, June 09, 2010

NI jambo lijulikanalo,...
..... kuwa HAKUNA UHUSIANO kati ya sura nzuri na sehemu za siri nzuri hata  kama ambaye hajachunguliwa ni  MBWA.:-(


Na jambo lisilojulikana,....
.... ni pamoja na kwamba LABDA  moja ya tamu ya UHISICHO  NI KITAMU ni hisia tu ndio maana  hata CHAKULA ukitamanicho kwa utamu kuna MTU kakichoka  ladha na ukimpa nafasi anaweza akakilisha MBWA.:-(
Swali:

  • AU?
  • Unauhakika UMPENDAYE kwa sura hasababishi kukuchelewesha kustukia ana roho MBAYA kisa unapenda tu mwanya wake kama kitobo cha maji machafu ya choo na bafu la  gesti bubu  mitaa fulani?
Kuna uwezekano,....
...... ni  kumbukumbu za paja LA KUKU lifanyalo KUKU azaniwe anasura nzuri.:-(

Na kuna uwezekano ,....
..... ni paja lisababishalo  MTU MWINGINE asichunguze LIMSICHANA lake  sura vizuri.:-(


Lakini PIA labda  kunauwezekano,......
.......vifanywavyo siri  ndio siri usistukie sio vizuri na uuziwacho NI SURA  ili ujenge hisia vilivyo siri  sio vitamu vizuri.:-(

Swali:

  • AU?






NI WAZO TU HILI MHESHIMIWA na nimeliacha.:-(

Hebu NAS na DAMIAN Junior Gong Marley wanyuke mkuno-FRIENDS




Au tu ngojea NAS ,Damian MARLEY na Knaan wanyuke pia ndude- Africa must wake UP

1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Fadhy Mtanga 6:53 am  

duh.....na utamu wa kitu hautokani na mwonekano wake...bali utamanisho wake kitumiwapo...ndo maana si kila ndizi kubwa kimwonekano huwa tamu kimlo kushinda ndizi ndogo kimwonekano kama ambavyo si kila donut ndogo huwa tamu kushinda kubwa...
Ila ahsante kwa vibao vya Nas na Damian Marley.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP