Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

MATATIZO ya MAHUSIANO ya ustadi wa KUCHAMBA UCHI na UCHI ikiwa ajuaye vizuri MATOKEO ni CHUPI na wala sio UCHI!:-(

>> Saturday, June 12, 2010

Kuna vitu vihusianishwavyo ambavyo labda UKIFIKIRI,....

.....NI KITU kingine katika huo uhusiano ndicho  KITIWACHO  doa la chupi katika  KIPENGELE.:-(



Swali:
  • Unauhakika CHAKULA kinajua unanjaa?



Uzuri wa KIFANYIKACHO   ,....
... labda  KIHITAJIWACHO  KUAMINIWA sio  KFANYIWACHO.....
... kwa  kuwa LABDA ajuaye vizuri  umakini  wa KILICHOFANYIKA sio ALIYEFANYA au ALIYEFANYIWA,....

.... kwa kuwa labda kwa kawaida KILICHOFANYA  hakina uhusiano wa moja kwa moja na matokeo ya KILICHOFANYIKA.:-(


NI HILO TU KIJEBA! 
Na ni wazo tu HILI ambalo kuliendelezea vipengele hata vya kunajisi ni  RUKSA Mheshimiwa!

Hebu Bob MALYA atupe pambio -Mix UP mix up



AU tu Burning Spear arudie naye pia pambio- THIS Experience

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP