Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Labda NYOKA MWENYE SUMU hana sumu MWILI MZIMA!:-(

>> Tuesday, June 08, 2010

Ndio,...
... katika kuzinguliwa na sifa za NYOKA ASIFIWAYE KWA SUMU,....


.... unaweza ukamuogopa  mpaka NYOKA MTU MZIMA mwenye sumu KICHWANI TU,....
.... ingawa labda SHIDA YAKO inatibabu kwenye NYOKA HUYOHUYO  MKIANI ,...



.....halafu INAWEZA KUWA NI UKWELI  kuwa NYOKA umuogopaye sumu yake iko eneo moja tu LA MWILI na kama sumu iko KICHWANI kuogopa mpaka matako yake mazuri  LABDA  hakuna faida KWAKO.:-(

Swali:
  • SI labda  MWALIMU umuogopaye kama uwezo wake haukufelishi MTIHANI  TU  ingawa kakufanya MJINGA,  kipengele alichokusaidia kuwa mjinga kinaweza kutogundulika kwa sababu hakiko katika MWILI MZIMA wa FUNDISHO ustukiwao?:-(

  • Si kuna uwezekano UTAKATIFU wa MTAKATIFU labda hauko katika mwili MZIMA na labda kuanzia KICHWA mpaka MATAKO YA MTAKATIFU labda sio MATAKATIFU kwa kuwa  utakatifu wake uko kwenye mapaja tu ambayo hayana uke na ubongo?:-(


Ndio,...
..... labda MALAYA sio MALAYA mwili MZIMA.:-(

NI WAZO TU HILI MHESHIMIWA usitishike!:-(


Hebu tupewe mizinga BAAB KUBWA kutoka KOLUMBIA kwa CHOC QUIB TOWN   kama tatika mshwasha -Somos Pacifico




Au tu  CHOC QUIB TOWNwanyuke kisawasawa kwa ndude-Toquemen EL BOMBO

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP