Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

NIA na MADHUMUNI ya BARUA hii MPENZI ni kukujulisha kuwa UKISINZIA huwa unajamba!:-(

>> Saturday, May 29, 2010

Ukipenda ,...
.....KIJAMBO cha mpenzi kinukacho sio BUGHUDHA.:-(

Swali:

  • AU?
Ukipenda  NI kama tu UKIAMINI dini yako ndio ya kweli,....
.....utamu wa  kibano chake   kwa wapendao burudani za sehemu za siri  watadai kiwepo hata mbinguni ingawa ukikifikiria baada ya kumchoka mpenzi  LABDA ni BUGHUDHA.:-(





Kwa kifupi nilitaka kukuuliza MHESHIMIWA :
  • Hivi ni mangapi unamficha MPENZI?
  • Huwa unamstua mpenzi kuwa ananuka?
  • Si unajua kunavitu unavifanya wakati umelala na washuhudiao ni watu WENGINE?
NDIO,....
... kuna uwezekano UKISINZIA  kunavitu unafanya na huvistukii tu  ndio maana UKIZINDUKA unashangaa jirani  yako ana BENZI uitakayo halafu wewe bado hata Corolla YAKISHIKAJI  huna.:-(


Ndio,...
.... ukisinzia KUNA KITU unafanya zaidi ya KUSINZIA na kimojawapo ni  kuachia  vyako WENGINE  bila kujijua  na LABDA  ukijiuliza MWENYEWE  unaweza kudhani hivyo vyako wavishuhudiavyo kwako WATU wengine kuwa HUNA.:-(

NI WAZO TU  a.k.a UjingaBUSARA HUU  na nimeukatizia MHESHIMIWA ili usitishike!:-(
JUMAMOSI na WIKIENDI NJEMA  Mkurugenzi!

Hebu twende KONGO STAFF BENDA BILILI wanyuke-Je t'aime


Au jifunze tu  STAFF BENDA BILILI

6 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Maisara Wastara 12:40 pm  

Swali: Itakuwaje pale ambapo yule unayemuamini kama rafiki akakurushia ndoano ya kukutongoza?

Nawaza tu: au ni yale mapenzi ya kimasai ya rafiki kuchoma mkuki nje kisha kujimegea?

Huenda: ikawa ni ile falsafa ya "Nguruwe pita sina mkuki mie?"

La hasha!: Naaminio kuna uwezekano Kitururu kauficha mkuki kwa nyuma......

Nimeona nivunje ukimya kwa staili hii...hili ni wazo lililokolezwa na pilipil mbuzi na Bi' dada Maisara Wastara Mambaligwa

Fadhy Mtanga 12:42 pm  

Wazo hili limenyooka sana mkuu.

Yasinta Ngonyani 10:43 am  

Mmmmhh! limenyooka kweli kweli! kaazi kwelikweli!

o'Wambura Ng'wanambiti! 10:49 am  

Ni kweli kabisa kwa kuwa yoote uyaonayo duniani yawazwa usingizini :-)

ndiyo:kwa kuwa hata kishitobe yule ulomdengulia pale Arusha uliwaza kufanya hivo na kisha soo likanigeukia mie wakati nilipopigwa na baridi la haja hapo kiasi kuwa nikakimbilia Dar :-(

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa 12:28 pm  

nitamkukmbusha mpenzi wangu kuwa nikistuka usingizini huwa anajambaga tena shuuz nukoo

nyahbingi worrior. 5:09 pm  

mmmmmm.Nasoma Between the line.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP