Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

MAANA katika MAISHA isababishayo BIN LADEN na RAIS KIKWETE wote hawataki kujiua.:-(

>> Monday, May 17, 2010

Kuna sababu NYOKO zisababishazo MWALIMU ajisikie MAISHA YAKE yanaleta MAANA kwa kufundisha,...
.....kama tu MALAYA ajisikiavyo MAISHA YAKE yanaleta maana baada ya kurizisha mtu kwa ufundi  na UMAHIRI WAKE  katika  kazi yake muhimu ya kusaidia watu katika MGAO wa utupu.:-(

Swali:
  • SI kunauwezekano maana ya maisha ni nyoko ndio maana MENEJA na MESENJA wanaweza wakawa wanaridhika na kazi zao ndani ya ofisi moja?


NAACHA HII TOPIKI  HAPA ila ruksa kwako kuiendeleza kimawazo hata kama KWA USTAARABU WAKO  unahisi nimetukana .:-(

Hebu  tukutane na Mzimbabwe  Prudence


Au tu tuendelee kusikia kuhusu Prudence

3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Fadhy Mtanga 7:08 am  

Siyo tu kuridhika bali meneja na mesenja wote wanausikilizia utamu wa utupu wa yule sekretari wao kwa kupangiwa ratiba kiustadi kiasi kwamba hawawezi kugongana

Simon Kitururu 1:25 am  

@Mkuu Fadhy: DUH!

o'Wambura Ng'wanambiti! 11:04 am  

Mt. habari ndo hiyo kaka!

Papa Fadhy: you made my day...lol

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP