Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kwa MPENZI KINUKA mkojo!

>> Monday, May 17, 2010

Ni kweli,....

... sijali harufu na labda wewe hujagundua tu bado  kuwa pamoja na harufu kuwa ni moja ya kifanyacho pilau kwako inavutia BILA KUIONJA ila hujali harufu ndio maana  labda hata kuna choo fulani ushawahi kukikimbilia ingawa kinanuka  KIHARUFU.:-(


Ni kweli,....
...tamu ukionja kama kwako ni tamu kweli  kimgido ,...
...kama inanuka,.....
.....cha mwisho kusumbua MUONJO WAKO si harufu.:-(



Swali:
  • AU?

Swali kwa MPENZI kinuka MKOJO;....
  •  SI unajua anogewaye na CHAKULA wakati wa njaa huyo hana njaa vizuri?

  • Si unakumbuka mwenye njaa umuhimu ni kushiba na sio kushughulika na  swala la maharage yanajambishaje?

Ndio,...
....kuna uwezekano mkubwa anogewaye na CHAKULA wakati kinanuka ukitaka kumgawia tena chakula katika KIBAKULI KILEKILE akakubali kwa nguvu zote KUGIDA tena,....


.....maana yake ANAUMWA na njaa VIZURI huyo,  zile njaa za kumgeuza asiye penda kugida akagida tu hata ukoko wa mlenda wa jana kwa kuwa KULA  CHAKULA ni tofauti kama ulaji wako  ni katika staili ya kusikilizia utamu  au tu ni kwa kuwa  unakula kwa kuwa una njaa.:-(



NI WAZO TU HILI ambalo lina UTAFITI HAFIFU NYUMA YAKE mheshimiwa  .:-(

NAACHA WAZO!

Hebu Twende SenegaliViviane Ndour abadili kwa mfinyo- Fima Tollu







Au tu AFFO LOVE alete alete tena coupe decale katika -INFIDELITE Sexy Boulance

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Fadhy Mtanga 6:59 am  

Mtakatifu nilizimiss sana hizi tararira

Simon Kitururu 6:27 am  

@Askofu fadhy:Zimerudi!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP