Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Labda PENYE NIA pana NJIA MBOVU pia.:-(

>> Thursday, May 20, 2010

Ndio inasemekana ,....
... PENYE NIA pana njia,...
....ndio maana MALAYA na MLOKOLE wote wanafanikisha wakilengancho kidude walichokinuia kukipandisha mzuka.:-(



CHA KUJIULIZA:
  • Hivi Tanzania na RWANDA kama ni nchi zenye NIA kwa nini RWANDA inasemekana sasa hivi kupatia njia wakati Tanzania bado tokea ipate uhuru kwenye nia zake hapapatikani njia au ikipatikana inabonge la makorongo na kama unatakakuelekea Kigoma unaweza jikuta Mbinga?
  • Hujastukia ni kwanini naanza kufikiri PENYE nia pana njia MBOVU pia?


Nalikatiza hapa hili wazo nyoko a.k.a shenzi kiduchu!:-(
BAADAYE!


Hebu tuburudike kwa kudeku maswala ya Wazungu na Watu weusi bila kuwasahau wenye rangi nyingine mwanana katika kidude kitafitiwacho kwa watoto -STUDY shows how children view race bias




Au tuendelee tu na burudani hiihii katika-








Au hebu tu Jocelyn Beroad abadili kidude kwa -Ti tak isi



Au na  Malaika nao walete katika kubadili mkuno  ndude-Destiny

1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Mzee wa Changamoto 3:19 pm  

Labda nia si nia kwa kuwa haina nia tudhaniayo. Penye nia pana njia na kama nia ndio chanzo cha njia, basi tuwaze kama tuna nia njema.
Na hapo ndipo tunapoachana
ATI:
Fisadi ana nia sawasawa na mwananchi muharibikiwa maisha.
PIA:
Mchungaji ana nia na kijiji ambacho changudoa ana nia pia.
LABDA:
Unaposimama kuiangalia nia na kuichungulia njia, ndipo unapokuja jiuliza kama nia na njia zetu zi sawa.
KUKUMBUSHA TU:
Ni kuwa vyama vyote vya siasa vina nia na vyote vinavyopingana ati vinaona njia ya kuelekea maendeleonini.
ATI
Wote wanaoua na wanaoua wauao wana nia ya kusafisha tabia ziwakerazo mahala waishipo.
Ni nia tu.
Askari magereza anaishi kwa kuwa NIA za wahalifu zilileta njia mbaya na askari anaitwa shujaa kwa kuwa nia ya mhalifu haikufanikiwa kama yeye.
HIVI:
Tatizo ni nia ama mahala tulipo kuangalia nia hiyo?
MKUU:
Naacha
Tuonane NEXT IJAYO

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP