Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kuna maelezo ya MPENZI ambayo labda SHANGAZI hatakiwi asikie.:-(

>> Monday, May 17, 2010

Kikukunacho kueleza wengine labda ni BOMBA,...
... lakini  kuna MAELEZO  kwa MPENZI labda sio busara MAMA YAKO  ajue  .:-(


Ndio hata katika MTONGOZO bomba,...
.... ambao unasababisha  mahausiboi wote mtaani wanafikiri dili ni MAMA MWENYE nyumba WEYE ya kwenye kona ndio unalipa zaidi katika  siri za ushujaa huo wa mama mwenye nyumba,...
....si lazima  SIE WENGINE tujue.:-(



Swali:
  • AU?

Na wakati MJOMBA anasikiliza MAONGEZI alengwayo SHANGAZI,....
....inaweza sababisha MPAKA MJOMBA  AKATWE mizizi ya UTAMU wa SHANGAZI kama nia ni kuokoa uwezekano  hata wa uwezekano  ZILIPENDWA YA SHANGAZI inaamsha anasa ZILIPENDWA za MJOMBA kisa kasikia tu aambiwacho shangazi hasa kama kiokolewacho ni UJOMBA TU.:-(

Swali:
  • Kwani humjui MTU ambaye anataka KUSIKILIZWA ili tu aeleze wengine kisa kagundua kusikilizwa  ndio tamu yake ilipo na KWA HIYO ANAHISI ITABIDI  aongee tu  hata ya chupi wakati kikao ni cha sidilia?

  • SI unajua kuna uelezwayo mengi ambayo hutaki kusikia ila kwa kuyasikiliza kuna watu siku hiyo walilala vizuri kisa wamehisi wamesikilizwa?
  • Unafikiri aelezaye yasiyokuhusu hafanyi hicho katika kujitafutia shughuli kama tu afanyaye mtu bila kuwa na hamu?

NI WAZO TU HILI MHESHIMIWA samahani!.:-(

Hebu tubadili kwa ndude ya Gil Scott Heron ,Jay Z asaidie ili watu fulani wasikie iitwayo - Home Is Where the Praying Is



Au tu GIl Scott Heron ailete kavukavu ndude katika -Home is where HATRED is



Au tu ngoje Gil Scott anyuke kwa-Dont give up

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP