Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

NGUVU ya KUJISAIDIA!

>> Monday, May 17, 2010

NGUVU,...
... ina sura kama TAKO kwa kuwa TAKO KATIKA SWALA ZIMA LA KUJISAIDIA kinamna ni NENO TU.:-(


NGUVU,....
.... inaweza kuwa UCHOCHEZI kama imeelekezwa kwa ambaye NGUVU YAKE ni ile ambayo haina nguvu kwa kuwa HAJIAMINI NA AFANYACHO CHENYE NGUVU na  hata KABLA HAJAKIRI afanyacho ni kupiga KELELE  KATIKA MFANYO UHITAJIO VITENDO   kitu ambacho kinguvu kinahitaji vitendo na sio kukivulia chupi kitaralila TU.:-(

NGUVU,...
...ukiwanayo UNAWEZA usijue nini ni NGUVU kwa kuwa  katika dunia ya sasa unaweza usijue mwenye nguvu ni RAISI au FISADI MESENJA WA RAIS AMBAYE  ni jirani yako  katika kuhakikisha kwa shilingi ngapi una pata choo  kinamna ambayo unaweza ukawa unamlaumu mpaka mama yako  ambaye katika mchezo mzima alicho kifanya ni kukuzaa tu.:-(


Swali:
  • Unauhakika nguvu ni nini?
  • Unauhakika naongelea nini?

NI WAZO TU HILI!:-(

Hebu Frankie Paul aje live kwa kurudia kumsifia mtoto mzuri-SARAH



Au tu turudi studio Frankie Paul amsifie tena -Sarah

1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Fadhy Mtanga 7:05 am  

Mkuu si mchuzi

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP